Tsh.50,000 kwa Tsh.500,000 na Tecno spark 5pro, pre oder sasa!

Tatizo kubwa tuwachane humu humu lens za camera zao za simu zinapungua ubora kadri inavyopiga picha nyingi yani kwa sisi wazee wa picha 100+ kwa siku ni week mbili zinaanza kutoka picha za maziwa na mawingu wingu ila tecno ni mnyama aisee ila sio mkali
Ni ujanja ujanja tu wafanyakazi wa tecno wenyewe hawatumii simu zao ni wateja wa samsung na iphone
 
Back
Top Bottom