Tsh.50,000 kwa Tsh.500,000 na Tecno spark 5pro, pre oder sasa!

JF hapa kila mtu tajiri, ila wengi wao ukikutana nao utawahurumia maana ni tofauti na wanavyojinasibu humu.
Ukweli mkuu, utakuta mtu anaiponda tecno nyuma ya keyboard ilihali ndiyo inayomwezesha aingie jf.

Nchi masikini Kama zetu hizi halafu anaibuka mtu anataka aonekane kisa anamiliki Samsung ya Tshs 380,000/= so sad
 
Mkuu Kuna watu humu utakuta anajitutumua kuwa ana vitu vizuri ( wao wanasema original ) huku akiwaona wenzake wasio navyo Kama masikini Sana halafu yeye ndiye Mo.

Huyohuyo katika maisha ya kawaida Hana ajira, Hana hata kitanda yaani anakula na kulala kwao
Kwahiyo mnataka wote tutumie tecno sio?🤪 We miliki tecno kimpango wako,yani kelele zote hizi ni kwasababu ya mdau mmoja hapo juu kuuliza kama tecno nazo ni simu🤔?
 
Camera mkuu kwa tecno pia siku hizi wapo juu, wameboresha sna, chaji ndio usiseme ukichaji ikajaa vzr unasahau
Camera tecno ukipiga kwa simu yako unaona iko vizuriiii tuma hizo picha au video kwa simu za duniani
Vyovyote vile bibie, ukidhani wanaomiliki simu tofauti na tecno ndiyo wastarabu utakuwa huna shule kichwani. Ni sawa na kusema matajiri wote ni wema na Ni wachaMungu huki ukidai masikini wote Ni watenda dhambi na hawajastaarabika.

Unakosea Sana, najua kwa taifa la Tanzania watu wengi mna uchumi unaokaribiana ukitoa matajiri wachache, kujiona kwamba uko juu ya mmiliki wa tecno yeyote yule Ni kipimo dhaifu Sana na ni upungufu wa fikra chanya.
Mbona unanimezesha fikira zako jamaa???
 
Hakuna sehemu yoyote ile niliyokudharau wewe pamoja na tecno yako unayomiliki,kilichonifurahisha mimi ni jinsi ambavyo umemjia juu mkuu rubii baada ya kuhoji swala la tecno kuwa simu. Na hili tatizo la masikini kuhusu kudharauliwa kila muda sio lako tu, hivyo siwezi kulaumu.

Mimi natembea na kila toleo la iPhone😀, hata Sasa si muda mrefu nitakuwa na iPhone 12.

Atakua ana shida mahali huyo 😂😂
Tecno anazipenda lakini zikichambuliwa uhalisia anatukana watu
Mara umaskini sijui yanatoka wapi kama kweli yuko proud kutumia simu hizo
 
Hakuna sehemu yoyote ile niliyokudharau wewe pamoja na tecno yako unayomiliki,kilichonifurahisha mimi ni jinsi ambavyo umemjia juu mkuu rubii baada ya kuhoji swala la tecno kuwa simu. Na hili tatizo la masikini kuhusu kudharauliwa kila muda sio lako tu, hivyo siwezi kulaumu.

Mimi natembea na kila toleo la iPhone, hata Sasa si muda mrefu nitakuwa na iPhone 12.
Hiyo iPhone yako nadhani ingekuwa vyema ungekuwa unajigamba kwa kuwa uliitengeneza mwenyewe

Ila Kama unatumia simu ya kutoka ng'ambo huna tofauti na mwenye itel.

Wote Ni wategemezi wa maarifa ya nje, akili mbadala hakuna, watu wana mambo ya maana na siyo hizo iPhone za Beijing na Hong Kong

Nachotaka kusema: jifunzeni kuheshimu watu na vitu vyao, Ni maamuzi yao!
 
Kwahiyo mnataka wote tutumie tecno sio? We miliki tecno kimpango wako,yani kelele zote hizi ni kwasababu ya mdau mmoja hapo juu kuuliza kama tecno nazo ni simu?
Nilimjibu vizuri Sana halafu wewe ukaanza blah blah!

Case closed!
 
Hiyo iPhone yako nadhani ingekuwa vyema ungekuwa unajigamba kwa kuwa uliitengeneza mwenyewe

Ila Kama unatumia simu ya kutoka ng'ambo huna tofauti na mwenye itel.

Wote Ni wategemezi wa maarifa ya nje, akili mbadala hakuna, watu wana mambo ya maana na siyo hizo iPhone za Beijing na Hong Kong

Nachotaka kusema: jifunzeni kuheshimu watu na vitu vyao, Ni maamuzi yao!
Kwani hao walioko ng'ambo wote wanajua kutengeneza simu? Wewe imekosa hoja,sasa umeanza kuifunua roho yako ya kichawi hapa.Yani unalazimisha kunichukia kisa kumili iPhone? 🤔
 
Kabisa!!! Ukweli lazima usemwe ataenuna na anune tu 😂
Nahisi huyu Saguda47 ndie muasisi wa huu uzi wa simu za tecno kupitia ID yake nyingine, hivyo hoja zetu hapa ni kama mwiba kwake.
Haiwezekani swala la kuujadili ubora wa Tecno, limguse kiasi hiki.
 
Nahisi huyu Saguda47 ndie muasisi wa huu uzi wa simu za tecno kupitia ID yake nyingine, hivyo hoja zetu hapa ni kama mwiba kwake.
Haiwezekani swala la kuujadili ubora wa Tecno, limguse kiasi hiki.
Yawezekana kabisa maana anajibu kutoka ndani ya moyo kabisa kama tecno mtengenezaji ni yeye😂
 
Camera mkuu kwa tecno pia siku hizi wapo juu, wameboresha sna, chaji ndio usiseme ukichaji ikajaa vzr unasahau
Tatizo kubwa tuwachane humu humu lens za camera zao za simu zinapungua ubora kadri inavyopiga picha nyingi yani kwa sisi wazee wa picha 100+ kwa siku ni week mbili zinaanza kutoka picha za maziwa na mawingu wingu ila tecno ni mnyama aisee ila sio mkali
 
Back
Top Bottom