Nilikuwa nasearch kitu na matokeo ya juu zaidi ilikuwa inakuja link ya Jf.yaani majibu niliyokuwa nayataka yalikuja yanakuja kutoka humu,baada ya Mara mbili tatu hivi ndo nikawa na shauku ya kutaka kujua ni kitu gani.ingawa ilinichukua muda kuwa mwanachama lakini Nilikuwa naperuzi Kama guest.