Dah, nimependa sana uwezo wa kuwaxa wa hawa watu. Hii ya Japan inanipa jibu sahihi kwanini wajapani ni watu wastaarabu na wanaojaliwa kuishi kiasi hiki, mzee wa miaka 75 bado anaenda kazini kama kawa tena kwa miguu. Wamarekani ni wauaji sana hapa duniani na haipo siku ntakaa kuwaona watu wa maana.
Mother's day ni kituko, kizazi hiki ni kizazi cha usaliti na kisicho jari kabisa. Upendo wao ni ule wa kufikirika zaidi kuliko kujitoa. Ni wabinafsi wakubwa na ni mizigo kwa wazazi wao