Unajua nn mpendwa, huu ugonjwa ni porojo tu...swali kama kweli upo huko west africa kwanini wapeleke wanajeshi wa kutosha wenye zana za kivita nzito badala ya kupeleka madaktari wengi? Pia congo ilikuwepo ebola then ikaondoka....je sababu iliyofanya ebola izaliwe congo na pia ife huko huko congo ni ipi? God bless Africa, God save Africa...
Halafu utasikia Mwafrika mwenzako anakwambia ni kwa sababu sisi waafrika tunawaza ngono tu mda wote na hatuvai condom! Unaweza mrukia kichwa aisee. Utingo umesoma kuhusu immunity ya ukimwi walionao wazungu kutokana na mutation ya protein CCR5?
Je ulishawahi kusikia Plague, au the black death iliyokumba ulaya karne ya 14?
Unajua inasemekana ilikua ni kirusi kama EBOLA!! Sasa imeanzeje ghafla WA?
Was Ebola Behind the Black Death? - ABC News
Umenikumbusha sakata la Thambo Mbeki na UKIMWI, jinsi alivyowacharua wataalam wa HIV/AIDS na theory zaoHalafu utasikia Mwafrika mwenzako anakwambia ni kwa sababu sisi waafrika tunawaza ngono tu mda wote na hatuvai condom! Unaweza mrukia kichwa aisee. Utingo umesoma kuhusu immunity ya ukimwi walionao wazungu kutokana na mutation ya protein CCR5?
Je ulishawahi kusikia Plague, au the black death iliyokumba ulaya karne ya 14?
Unajua inasemekana ilikua ni kirusi kama EBOLA!! Sasa imeanzeje ghafla WA?
Was Ebola Behind the Black Death? - ABC News
Incubation period ya Ebola ni wiki tatu ndugu yangu, nyie fanyeni utani tu!.Aisee isije ikawa kweli maana yule mliberia Duncan aliondoka kwao Liberia wala hakuwa na dalili za ugonjwa lakini kushuka tu kwenye ndege Marekani akaonekana anao
[mijitu mingine huku jf ni hovyo kabisa,yan inaamin kila makala inayoletwa humu kisa tu hiyo makala inam conderm mzungu!,..eti hakuna ebola!!,yan waafrika tutaisha kwa huu ujinga wa kutoamin na kua makin na mambo ya kitaalam!...anayebish hakuna ebola,bas nenda liberia ukamkiss mgongwa wa ebola afu ukirudi mzima apa,me ntakulipa gharam zako zote 2x.achek upumbav kwe vitu vya msingi]
nakushauri wekeza muda wako kufanya utafiti na kujisomea,usichukulie mambo kirahisi,soma,elewa,ukishindwa uliza ueleweshwe,ukitaka vithibitisho utapewa hata ushauri wa wa siri kuna watu wako tayari kukupa.kwa kufanya hivyo utajiokoa wewe na ndugu zako si tu kuhusu ebola bali mambo mengi ambayo ndio yanasumbua afya na uchumi wetu.
-najua unajua kwamba kansa/saratani haitibiki
-najua unajua kwamba ukimwi hautibiki
-najua unajua kwamba kisukari hakitibiki n.k
haya magonjwa yote si ya kuogopa,najua kwamba maelezo ninayotoa kwako ni kama muujiza,lakini ni sayansi iliyothibitishwa.jiokoe kifikra,soma.
Mijitu mingine huku JF ni hovyo kabisa,yan inaamin kila makala inayoletwa humu kisa tu hiyo makala inam conderm mzungu!,..eti hakuna ebola!!,yan waafrika tutaisha kwa huu ujinga wa kutoamin na kua makin na mambo ya kitaalam!...Anayebish hakuna ebola,bas nenda liberia ukamkiss mgongwa wa ebola afu ukirudi mzima apa,me ntakulipa gharam zako zote 2x.achek upumbav kwe vitu vya msingi..
[Mijitu mingine huku JF ni hovyo kabisa,yan inaamin kila makala inayoletwa humu kisa tu hiyo makala inam conderm mzungu!,..eti hakuna ebola!!,yan waafrika tutaisha kwa huu ujinga wa kutoamin na kua makin na mambo ya kitaalam!...Anayebish hakuna ebola,bas nenda liberia ukamkiss mgongwa wa ebola afu ukirudi mzima apa,me ntakulipa gharam zako zote 2x.achek upumbav kwe vitu vya msingi]
Nakushauri wekeza muda wako kufanya utafiti na kujisomea,usichukulie mambo kirahisi,soma,elewa,ukishindwa uliza ueleweshwe,ukitaka vithibitisho utapewa hata ushauri wa wa siri kuna watu wako tayari kukupa.Kwa kufanya hivyo utajiokoa wewe na ndugu zako si tu kuhusu Ebola bali mambo mengi ambayo ndio yanasumbua afya na uchumi wetu.
-Najua unajua kwamba kansa/saratani haitibiki
-Najua unajua kwamba UKIMWI hautibiki
-Najua unajua kwamba kisukari hakitibiki n.k
Haya magonjwa yote si ya kuogopa,najua kwamba maelezo ninayotoa kwako ni kama muujiza,lakini ni sayansi iliyothibitishwa.Jiokoe kifikra,SOMA.
Acha panic, come and prove that ebola in not man made?
Bado kuna matumaini ya kukomesha udhalimu huu. Warusi wako kazini kutunusuru na kadhia hii. Si unajua hawa wanatengeneza virus hawa wanatengeneza antivirus...
By RT.com
Russian scientists are developing a technology to make monoclonal antibodies specific to the Ebola virus. If successful, the resulting medicine could be available as soon as December. Testing points to a positive effect within 24 hours of administering.
Mikrogen one of the Russian leaders in the market for alternatives to antibiotics first had the idea. The company partnered up with the health ministry in Ufa, in Russias Republic of Bashkortostan, to develop a system for rapidly diagnosing the virus in human fluids and in the environment."
Hivi inawezekana kabisa na wewe kuna watu wanakutegemea kabisa huko kwenu.Mijitu mingine huku JF ni hovyo kabisa,yan inaamin kila makala inayoletwa humu kisa tu hiyo makala inam conderm mzungu!,..eti hakuna ebola!!,yan waafrika tutaisha kwa huu ujinga wa kutoamin na kua makin na mambo ya kitaalam!...Anayebish hakuna ebola,bas nenda liberia ukamkiss mgongwa wa ebola afu ukirudi mzima apa,me ntakulipa gharam zako zote 2x.achek upumbav kwe vitu vya msingi..