Trust.........................

Chauro acha uwoga bana loh eti mtego mtego! We nshakuzoea kwa kureserve!

Nakubali kuwa kuna wanaume wenye moyo wa kipekee ingawa mara nyingi wa hivi huonekana/ huchukuliwa kama wanaume wenye mioyo ya kike![/QUOTE]

Duhhhhhhh...Huyo ni wewe kweli?
 
MJ1...kwenda mdogo mdogo mpenzi...Ukikua utajua tafauti katia kupenda kwa moyo wote na mwili wote hadi kupoteza akili zote na kupenda kwa kili zako zote (ukiwa sober), na kuwekeza nusu ya moyo wako kwenye mapenzi.. Ukifikia hapo tutaweza kuelewana lugha. Ila kama bado kwenye dunia ambayo neno kama vile "I love u so much" kutoka kwa mwanamume linakufanya umpatie kila hazina yako basi hatuwezi kuelewana bado. Ila naamini tutafika...muda huwa hauna longo longo!!
Hah! Babu kweli imenibidi niwe mpole hapa duh.....kumbe bado nina safari ndefu bado eh? Aksante nntajifunza taratibu! Hii ni hazina kubwa ya busara aksante sana Babuh
 
QUOTE=Dark City;2147782]
Chauro acha uwoga bana loh eti mtego mtego! We nshakuzoea kwa kureserve!Nakubali kuwa kuna wanaume wenye moyo wa kipekee ingawa mara nyingi wa hivi huonekana/ huchukuliwa kama wanaume wenye mioyo ya kike![/QUOTE]Duhhhhhhh...Huyo ni wewe kweli?
!!!! Babu si ndio huwa wanaitwa Mume ***** au nimekosea? Na wanachukuliwa kuwa na moyo wa kike kwa kuwa katika jamii nyingi ni mwanamke ndie anayetakiwa kusamehe mumewe akicheat, akizaa nje n.kh
 
So unajua kuwa now mwenzangu hanitrust tena.....

How do we amend this? Unafanyaje fanyaje kumrudisha mwenzako akutrust/amini tena kama mwanzo?
Mwenzako afanyaje ili umtrust tena kama mwanzo?


So unajua kuwa now mwenzangu hanitrust tena.....fafanua ni kwa nini hakuamini tena.....................................bila ya kujua mwiba ulikoingilia ni vigumu kujua ni wapi pa kuutolea................
 
Wapendwa Habari za weekend?

Najua karibu kila mmoja wetu amewahi kumkosea/kosewa mwandani wake, awe mume/mke, mchumba, boy/galfriend, nyumba ndogo/ATM/MBA wake. Sisi sote tu binadamu na kukosea tumeumbiwa. Vile vile naelewa kuwa makosa yanatofautiana katika mahusiano, but yapo yale ambayo humfanya mwenzi wako akapunguza TRUST yake kwako (But si kosa la kuwafanya muachane).... So unajua kuwa now mwenzangu hanitrust tena.....

How do we amend this? Unafanyaje fanyaje kumrudisha mwenzako akutrust/amini tena kama mwanzo?
Mwenzako afanyaje ili umtrust tena kama mwanzo?

MJ1, there are three things you need to explore to get all teh answers about yourself
  1. how do i maintain or establish a trust with someone
  2. how do ilose it
  3. how can i regain teh trust

once you explore these points while picturing yourself as a recipient of the compromised trust, you may lead to good direction re trust

However, trust is just beyond physical or emotional indicator/attachment.... many of us look at trust beyond the parties, we go to associates as well
 
So unajua kuwa now mwenzangu hanitrust tena.....fafanua ni kwa nini hakuamini tena.....................................bila ya kujua mwiba ulikoingilia ni vigumu kujua ni wapi pa kuutolea................
Kuna ukweli hapo!Tena ukweli mweupe!
 
Wapendwa Habari za weekend?Najua karibu kila mmoja wetu amewahi kumkosea/kosewa mwandani wake, awe mume/mke, mchumba, boy/galfriend, nyumba ndogo/ATM/MBA wake. Sisi sote tu binadamu na kukosea tumeumbiwa. Vile vile naelewa kuwa makosa yanatofautiana katika mahusiano, but yapo yale ambayo humfanya mwenzi wako akapunguza TRUST yake kwako (But si kosa la kuwafanya muachane).... So unajua kuwa now mwenzangu hanitrust tena.....How do we amend this? Unafanyaje fanyaje kumrudisha mwenzako akutrust/amini tena kama mwanzo?Mwenzako afanyaje ili umtrust tena kama mwanzo?
Hilo rahisi, unazidisha makosa zaidi hadi akose matumaini 99%akishafikia hatua hiyo unaanza kufanya mazuri kidogo kidogo hadi atakapofikiria kuwa umeanza kubadilika, utashangaa kidogo kidogo anaanza kujipa matumaini kuwa umeanza kujivua gamba. hutaamini macho yako mwisho wa siku atakuamini zaidi ya zamani kama umeonyesha kuchukia makosa uliyokuwa unayafanya mwanzoni. kumbuka; ukitaka kurekebisha kreki za nyumba yako, ili ipendeze ni lazima uibomoe kabisa afu uijenge upya.
 
Hapo sasa wengi huishia kuitwa majina ya ajabu na kudharauliwa lakini naamini sio mioyo ya kike kama unavosema,malezi yanachangia sana na hata kwa wale wanaume wacha Mungu huwa naona tabia zao huwa tofauti .

QUOTE=Dark City;2147782]!!!! Babu si ndio huwa wanaitwa Mume ***** au nimekosea? Na wanachukuliwa kuwa na moyo wa kike kwa kuwa katika jamii nyingi ni mwanamke ndie anayetakiwa kusamehe mumewe akicheat, akizaa nje n.kh
 
Trust inaangaliwa sana kutokana na matendo ya mtu..Napenda kuwa kwenye situation ya 'kumwamini' mtu hata kama siyo kweli ilimradi nisiwe na mawazo mabaya yatakayonipa stress kila kukicha..
Palipokuwa na 'strong trust' halafu mmoja kaibomoa, kuirejesha ni kazi sana..itawezekana sema itachukua muda kurudi mahali pake kwavile mashaka yataanza kuwepo na haitokuwa ' strong trust' kama ya mwanzo!!
 
Ukimpenda kwa dhati utam trust sana tu, na akikukosea kama ameomba msamaha kutoka moyoni utajua na utamsamehe mwenyeweee!!Sasa mkiwa na mahusiano ambayo hamuaminiani huwa si rahisi kusamehe kabisa
 
Really????

yes,ukisema hum trust mtu
utakosa raha wewe....i mean hata kama yupo kwenye foleni
utahisi vingine.....

wazee walisema ukimchunguza kuku hutaweza kumla.....
hawakukosea......
 
gharama ya ku to m trust mtu ni kubwa saana
inatufanya tu wa trust watu,hata kama tunajua tunajidanganya
Ni kweli kabisa gharama ni kubwa ila wakati mwingine inakuwia vigumu urudisha trust yote ya mwanzo baada ya maumivu fulani, lakini mwisho wa siku unajikusanya kwa ajili ya mambo anayojitahidi kuyafanya ili kurudisha trust iliyokuwepo awali
 
Ukimpenda kwa dhati utam trust sana tu, na akikukosea kama ameomba msamaha kutoka moyoni utajua na utamsamehe mwenyeweee!!Sasa mkiwa na mahusiano ambayo hamuaminiani huwa si rahisi kusamehe kabisa
Dina mdogo wangu hii ni kweli kabisa na hata akikukosea trust inarudi haraka sana sababu tu ya mapenzi ya dhati uliyojijengea kwake, ndio maana tunasema mapenzi wakati mwingine yanatufanya tuwe vipofu
 
chakwanza kili makosa yako, omba msamaha na mwonyeshe kuwa umejutia kosa lako kwa matendo yako.. Mwenyeshe kuwa unampenda sana na haupo tayari kumpoteza kwa kumfanyia mambo mazuri ambayo huwa wayafurahia pamoja. Kuwa muwazi kwake, pale umwonapo mpweke mulize tatizo lake ni nini upate kujua! Pole mkuu kwa mapito, jitahidi ujenge trust kwa mweza wako, mapenzi pasipo uaminifu ni kiza kinene!
 
W
How do we amend this? Unafanyaje fanyaje kumrudisha mwenzako akutrust/amini tena kama mwanzo?
Mwenzako afanyaje ili umtrust tena kama mwanzo?

1. Kubali kwa vitendo nobody is perfect..
2. Kubali kukosea is the first step ya kufaulu..
3. Kubali kukosolewa
4. Usijirekebishe kwa kiunafiki.
5. Endele kuchangia mawazo ya familia kwa kujiamini..Mimi binafsi sipendi kuona mtu aliyenikosea anapoteza amani na kuwa mnyonge nataka aendelee kuni-challenge ..aendelee..kunipinga. kumbuka leo nikikosea mimi basi..kesho utakosea wewe..
 
Back
Top Bottom