Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,812
Hakika na iwe hivyoHatakiwi kabisa kuaminiwa haijalishi nafasi ya kwanza au ya mwisho
Hakika na iwe hivyoHatakiwi kabisa kuaminiwa haijalishi nafasi ya kwanza au ya mwisho
Mkuu kuna msaikolojia alikuwa kwenye podcast ya Men Men yeye anadai kuwa 85% ya wazee wanalea watoto sio waoNilikuwa na angalia podcast moja US,kuna mwanamke mmoja akasema kwamba wanawake wengi wana walaumu waume ni malaya ila wapo mbele kupinga sheria ya Partenity test, ambayo inataka mtoto apimwe kwanza DNA kabla ya baba kusaini cheti cha kuzaliwa.
Huku kwetu kuna kauli ya kipuuzi kabisa,eti kitanda hakizai haramu ambayo vijana wa siku hizi hawataki kuisikia hiyo kauli. Siku serikali ikilegeza masharti ya vipimo vya DNA,ndoa nyingi zitavunjika.
50% ya DNA anashare na hao madogo hivyo haijamqualify kuwa baba labda kakaPole kwake.
Ningependa nifahamishwe hapa, ndiyo kakuta watoto sio wa kwake kwa mujibu wa DNA.
Nijuavyo; Mama anachangia 23 chromosomes na baba 23 Chromosomes , baada ya watoto kuonekana hawana vinasaba vinavyoshabihiana na baba (99.9% Accuracy), Imekuwaje watoto waonekane kuwa ni wadogo zake?
Naombeni elimu.
Ila humu jamani😁😁😁🙌Mkuu hawa wanawake wakati mwingine wananiumiza kumoyo hebu assume Binti Sayuni03 ananifanyia kituko.
😁😁😁50% ya DNA anashare na hao madogo hivyo haijamqualify kuwa baba labda kaka
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Na hawa wanaume wanaotoka nje ya ndoa na kuona kama ni kitu cha kawaida unawazungumziaje😭😭But finally jehanam is there for those women.
Yes the day Will come 😭😭
Sawa, barikiwa na huyo mbaba Mungu aendelee kumtia nguvuNimeiokota sehemu mkuu! Mimi na mzungu wapi na wapi
It's the same thing as saying 'trust your husband at your own risk'.One of my boys got sick, so I took them both in for tests. Nothing major, just being cautious. A few days later, I went to pick up the results, and that's when everything flipped upside down. The doctor looked me straight in the eye and casually asked, "How long ago did you adopt the boys?"
I laughed at first, thinking it was some mix-up. I told him, "ADOPTED!? No way. My wife would never keep something like that from me." But then he handed me the papers and said, "I'm sorry, but the DNA RESULTS DON’T LIE... They're not biologically yours."
View attachment 3289957
That was enough to make me feel like the ground disappeared beneath me. But then he hit me with something even worse... words that will haunt me forever. He told me, "These boys aren't your sons… they're your HALF-BROTHERS."
I barely made it home. And when I walked in the door, I asked my wife the one question I never thought I'd have to say out loud:
"Did you sleep with my father, Nancy?"
I DONT OWN THE COPYRIGHT OF THIS CONTENT
Hahaha 😂Ila humu jamani😁😁😁🙌
Sijui habari zao maana mimi sijawahi kufanya hivyo.Na hawa wanaume wanaotoka nje ya ndoa na kuona kama ni kitu cha kawaida unawazungumziaje😭😭
Ila muongo sana wewe kijana😁😁😁🙌Sijui habari zao maana mimi sijawahi kufanya hivyo.
Nasinzia nikikuwaza.
UnanisingiziaIla muongo sana wewe kijana😁😁😁🙌
Wale jamaa nawaelewa sanaTaliban siku moja mtakuja kuwaelewa tu ..
Kazaa na babamkwe na kuwafanya hao watoto automatic ni wadogo zake na mke kugeuka mama yake wa kambo!One of my boys got sick, so I took them both in for tests. Nothing major, just being cautious. A few days later, I went to pick up the results, and that's when everything flipped upside down. The doctor looked me straight in the eye and casually asked, "How long ago did you adopt the boys?"
I laughed at first, thinking it was some mix-up. I told him, "ADOPTED!? No way. My wife would never keep something like that from me." But then he handed me the papers and said, "I'm sorry, but the DNA RESULTS DON’T LIE... They're not biologically yours."
View attachment 3289957
That was enough to make me feel like the ground disappeared beneath me. But then he hit me with something even worse... words that will haunt me forever. He told me, "These boys aren't your sons… they're your HALF-BROTHERS."
I barely made it home. And when I walked in the door, I asked my wife the one question I never thought I'd have to say out loud:
"Did you sleep with my father, Nancy?"
I DONT OWN THE COPYRIGHT OF THIS CONTENT
Ni kama viatu na soxy ni bidhaa zinazoundwa na viwanda tofauti, lakini hujikuta vinalazimishwa kutegemeana!Niwekee kwenye jagi nibebe kama maziwa... Maaana Dini zenyewe zimeletwa na waarabu tu.
Tafiti zinasema hakuna mwanaume wa hivyoUnanisingizia