Trust Again in a Man.

Aaaaah we humjui Kaby?
Ana mbinu kali kama Osama wakati ule Lol ukizubaa itakula kwako
Hajaona mashairi eeh? Mwache azubae mwenzie anamwaga tu mashairi Uporoto anajisogeza kama mbwa ajisogezavyo kwa chatu lol.
 
sikumpa mchezo ndo maana nishagundua nilimwambia asubiri mpaka marriage
Hahahaa siku hizi watu wanaanzaga honeymoon then baadae ndo wanapeleka mahari....lol
Ni kama Cantalisia na Rejao au SweetLady na HB Nitonye
 
Hajaona mashairi eeh? Mwache azubae mwenzie anamwaga tu mashairi Uporoto anajisogeza kama mbwa ajisogezavyo kwa chatu lol.
Hahahahaaaa kwanza hii thread km ameisoma tu atagundua kuwa Kaby ni noma...yan ana mbinu kali sana
 
mimi huwa naenda kwa mkataba,na mkataba na excellent uliisha,sasa uporoto sijui kafupisha?khaa

hata kwangu mkataba ulikuwa mfupi bhana,umenikatisha mautamu gafla
 
subirii nishapigiwa simu uporoto kaonekana na shangingi kino huku,ndo navalia bukta yangu niende
Unaona matokeo ya kuokota wanaume walio na mapenzi ya dhati....mpe sasa aache kutangataanga
 
Kama ni hivyo mwambie asije lol. Khaaa anatuonaje tule nyama za mnadani? Kwanza sie twaja jpili, kwani soko la Tengeru ni jpili wifi?

soko jmoc wifi hana hela huyu amy ndo anamuweka mjini achana nae,
 
Hahahaa siku hizi watu wanaanzaga honeymoon then baadae ndo wanapeleka mahari....lol
Ni kama Cantalisia na Rejao au SweetLady na HB Nitonye
Ulivomtaja nitonye mapigo ya moyo yamebadili mwelekeo ghafla... Ntampata wapi jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…