wifi si ulisema mmeachana,tutakubaliana kwa amani,sasa haya yanatokea wapi?
Hahahahaaaa umeanza eeeh wewe ndo hapo ziko resi mbaya kisa huwaoni wote.....tumsamehe bure huwa zinamruka asipomuona amyner.
Na huwezi kumpata saa hizi....utakuta keshaenda mahali....halafu mbona akiwa hapatikani na nanii pia hapatikani?kunanini?
Tutafute walinzi tu ndio dawa pekeewifi unaujua uchungu wa mme wewe!! Yaani nikuachie tu hivi hivi.
Na sahivi ngoja niongeze malavidavi maana competition ishakuwa kubwa.
Halafu nashangaa na wivu wote huo jamaa anawezaje kuiba?nanusa harufu mbaya hapa wifi,tunaibiwa hapa tukae macho wazi
Mtakuja nazo huko huko....kwanza jumamosi ni mnada Tengeru..hahahaha aa tunaanzia pale kwanza kwa nyama za wamasai lol km una kinyaa inakula kwako
Hehehe! Mbichwa huoooo...lol. Nashukuru b52! Kaby ajinyonge tu!Kwa wewe ntakuja hata ukitaka nije Mwanga ntakuja mama Nitonye coz namuheshimu sana ndugu yangu huyu
Si nilikuambia we ni mwizi ukabisha? Duh we nomaaaaa
Uwii sasa tufanyeje wifi?..nanusa harufu mbaya hapa wifi,tunaibiwa hapa tukae macho wazi
Hahahahaaaaa majungu hayo....hahahaaaa nimeahirisha ntawapeleka DIK DIKchaaa wifi unamsikia huyu eti za mnada?? Amy alivyokuwa cutie sasa hivi anapauka
Tutafute walinzi tu ndio dawa pekee
Utakuja kutupokea Moshi au huji tutafute mtu mwingine...hahaha!
Hahahahaa nawewe ushamgeuka eeeeHehehe! Mbichwa huoooo...lol. Nashukuru b52! Kaby ajinyonge tu!
Kwa hilo sahau.....hapa Ni milele daima km Marlow
Kama ni hivyo mwambie asije lol. Khaaa anatuonaje tule nyama za mnadani? Kwanza sie twaja jpili, kwani soko la Tengeru ni jpili wifi?chaaa wifi unamsikia huyu eti za mnada?? Amy alivyokuwa cutie sasa hivi anapauka
Aaaaah we humjui Kaby?aaah wapi! Kifaa changu nalinda mwenyewe mwanzo mwisho.
Jumapili ni la VIP kama nyinyiKama ni hivyo mwambie asije lol. Khaaa anatuonaje tule nyama za mnadani? Kwanza sie twaja jpili, kwani soko la Tengeru ni jpili wifi?
Iyabidi uiandike kwa pencel maana itakuwa na maeneo mengi sana ya Ku-edit
We acha kunichonganisha na my wii..Hahahahaa nawewe ushamgeuka eeee
hahahaaaaaa safi sana
Mnanionea kwa kuwa hajaja eeeeh ngoja akija tutaona kama mtayasema haya kwa Binti Kisura,Amy wa mashauzi...lol mtoto Pozi...mtoto tabasamu....utantaka mie.....hehehe chezea mimi subiri