Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #41
Teh utashangaaaa wanjanja hao washakuzidi kete na huna hata hela ya kula leo....
njoo uchukue buku ya mchana....lol ule hata ubuyu tu
Hahahahaaa thubutuuuuu.....unataka Amy anigonge mzungu wa nne leo kisa namuota mwingine wakati yeye ndo mhusika?
kweli kabisa,uwepo wako umenibariki sana.pole na majukumu ndo maisha hayo
Hivi arusha huendi tena au?never been better,ndo natoka k'koo niwahi kibanda changu.
Ndio ujue cha mtu mavi, karudi zake kwa wife wake husninyo!sio kawaida yake hata hajamtuma dereva alete hela ya kula.Sijui shangingi gani kamteka bwana'ngu lol
Teh teh Kaby una mambo aiseewivu nikuonee wewe hehehe halafu kama na wivu kweli
Hapana mumy usiwaze kwa hili....Nilishakuambia huyu Kaby ana lake jambo....we mzoee tu hapa makali kwangu...Ricky!! Nahisi nahitaji private detective wa kukufatilia naanza kukudoubt!
Nikimpelekea ubuyu ni Ishara ya mapenze ya kweli....tena ubuyu wa rangi nyekunduna laki tatu ya lunch usiku ndo sina,pyaaa ubuyu mpelekee amyner.
nimefanyaje tena?
Hahahahaaa amenisumbua muda mrefu eti hakupati umemtosa akaenda kwa Uporoto akatendwa akaona bora akutafute kwa hii dedication...lol na amekupa hope sasa atakuwa na furahalyrincs za ukweli
Hahahahaaa amenisumbua muda mrefu eti hakupati umemtosa akaenda kwa Uporoto akatendwa akaona bora akutafute kwa hii dedication...lol na amekupa hope sasa atakuwa na furaha
Teh we sijui ulizubaa wapi jamaa akakupiga bao ila ya kale hayanuki...bado anakuhutaji sana...hehehe hanipendi bhana
Ricky!! Nahisi nahitaji private detective wa kukufatilia naanza kukudoubt!
Asante mkuu, nami pia natambua uwepo wako ktk jamii hii ya watu mchanganyiko,
PS:
Mkuu una updates zozote kuhusu mgomo wa madaktari kwa leo? Kama unazo hebu nipe dondoo japo kwa ufupi.
Hivi arusha huendi tena au?
Ndio ujue cha mtu mavi, karudi zake kwa wife wake husninyo!
Hapana mumy usiwaze kwa hili....Nilishakuambia huyu Kaby ana lake jambo....we mzoee tu hapa makali kwangu...
yan ni wewe tu barafu wa moyo wangu
Nikimpelekea ubuyu ni Ishara ya mapenze ya kweli....tena ubuyu wa rangi nyekundu
lyrincs za ukweli