Umesahau mvumilivu hula mbivu??..Ila sweetlady mvumilivu...ungekuwa wewe ungeshamwaga
Sio vibaya bro akajua nini kinaendelea kwa sister ake
Hajambo kabisa ameingia bafuni kuoga akija ntamsalimia...
Mpe salamu zangu Rejao
khaaa wakati nimekulindia bwana'ko kweli fadhila mfadhili mbuzi atakupa mchuzi binadamu 'takupa mashuzi
Nnachokupendea lawyer ni vile hudanganyiki... Tehe!Kabana acha wizi bana, jana si mlikuwa mnavuana nguo na uporoto hapa chit chat wewe?
Ni kweli kabisa, lazima SL, Kaby na amyner waoneshe ushirikiano wa kutosha kwa hili neno la Mungu, azawaizi ufalme wa milele watausikia clouds FM tu
ni sh.40 ntakufanyia discount,karibu sana.Na pia kuna kadi za kuachana na mpenzi wako ni mpya kabisa na aina tofauti tofauti.
Imekuaje hujaenda kuoga nae?
Sasa mbona unammendea mume wa mwali?ndo unanikaa kooni?chaaa hakuna jipya dawa tamu ni deskmate wake mwali ambapo mwali ndo rafiki yangu
Hahahah ushindwe na ulegee!
Pyaaaaaaa
Afu utawafanya nini?JF nimwachie nani...
Lol kuna watu wanamajungu humu...so lazma tufuate nyendo zao kwa ukaribu sana
Sasa mbona unammendea mume wa mwali?
Afu utawafanya nini?
Mwanaume gani analala saa mbili? omba talaka ulejee kwangu
umeipenda eeh?weka qoutation basi,pyaa
Kakako katekwa tena na majambazi au? Namsubiri aje tulale simwoni, alitoka kupaki gari vizuri ndo kayeyu mazima!..umeipenda eeh?weka qoutation basi,pyaa
kloro mi mzima.. Hehehe mwandiko huu ulikua wa bibi kanirithisha.. Halafu ile appointment yetu lini hivi? (ricky dear ni mambo ya kikazi tu. U trust me, right? Lol.)
Kweli ila kwa hao msikivu ni mmoja tu...hao wawili nawangoja ar waje niwauze kwa mkopo...mmoja kwa Nitonye...na mwingine kwa Uporito au wewe
Usijali darling nakuelewa....na nakutrust sana na najua klorokwini ni shemeji yako toka zamani