johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,599
Nimekuelewa bwashee!Trump aliwatala wajinga,lakini asingetoboa kwa nchi makini...
Al jazeera!Tupe chanzo cha habari
Robert Amsterdam!Wewe kingereza hata hujui nani kakuhadithia hayo?
"We will be back in other form"Trump amesikika akitamka maneno haya 'We will be back in some form ' wataalam wa Mambo ya siasa maneno haya Yana ujumbe gani msaada kwa Alie yaelewa maneno haya
Weka video tuoneAl jazeera!
Wewe Bavicha ni mbishi sana!Weka video tuone
Nyie CCM ni mabingwa wa uwongo, tunaanzaje kuwaamini kirahisi hivi?Wewe Bavicha ni mbishi sana!
Wewe ni mpuuzi tena mbuzi kabisa.Hakika madaraka ni matamu sana.
Katika hotuba yake ya mwisho kama Rais wa Marekani Trump ameaga na kuwaahidi Wamarekani na dunia kwa ujumla kwamba atarejea kivingine soon.
Hakika Tanzania tuna utaratibu mzuri wa kuachiana madaraka kwa heshima.
Maendeleo hayana vyama!