Trump vs Obama

Trump vs Obama

Wewe wa wapi wewe, ubisha vitu usivyovijua, nimekupa chart kutoka tovuti ya Federal reserve, watu wanaohusika na uchumi na mambo yote ya fedha Marekani halafu unaleta porojo?
Unaishi marekani ila hauna tofauti na machizi ya Tandika au Manzese Darajani . kwani hizo takwimu za mleta mada mmezipinga kwa tafiti zipi ??
 
sisi tunajua trump ndiye rais wa sasa na siyo hiyo takataka unayoisema
Mimi nakaa Marekani naelewa hali halisi ilivyo, sasa hivi kuna wasiwasi wa kuja kwa recession kwa kuwa pesa nyingi ziligawiwa kwa matajiri ambao badala ya kuwekeza nchini wao wanaziopeleka nje ya Marekani ili wasilipe kodi.

Huo uchumi mzuri unaouona ni kutokana na sera za Obama ambazo ziliitoa Marekani kwenye recession iliyosababishwa na vita na sera mbovu za taxcut wakati wa Bush. Trump alikuta teyari uchumi umeanza kushika kasi, akaendelea nao ila kutokana na sera zake za tax cut atarudisha nchi kwenye recession tena muda si mrefu.

Hizi sera za Reaganomics (taxcut) za republiCANT zimekuwa zikiharibu uchumi wa Marekani toka kipindi cha Reagan, kila Rais anayefuata sera hizi anapomaliza muda wake nchi inakuwa hoi (Reagan, Bush Sr, Bush Jr, na sasa Trump.)
 
Unaishi marekani ila hauna tofauti na machizi ya Tandika au Manzese Darajani . kwani hizo takwimu za mleta mada mmezipinga kwa tafiti zipi ??
Kweli mimi sina tofauti ya machizi wa Manzese (jasiri haachi asili) ila takwimu alizotoa mtoa mada zinapotosha. Mfano kwenye unemployment hiyo 9.4% ni ile watati wa Obama anaingia ambayo alirithi kutoka kwenye recession ya Bush.

Wakati Obama anaondoka unemployment ilikuwa imefika 4% na ushee ila ilikuwa inaendelea kushuka na hii trend kama ni mfuatailiaji utaona ilianza kushuka toka 2010.

Screenshot_2019-07-26 unemployment rate 2008 - Google Search.png
 
Mimi nakaa Marekani naelewa hali halisi ilivyo, sasa hivi kuna wasiwasi wa kuja kwa recession kwa kuwa pesa nyingi ziligawiwa kwa matajiri ambao badala ya kuwekeza nchini wao wanaziopeleka nje ya Marekani ili wasilipe kodi.

Huo uchumi mzuri unaouona ni kutokana na sera za Obama ambazo ziliitoa Marekani kwenye recession iliyosababishwa na vita na sera mbovu za taxcut wakati wa Bush. Trump alikuta teyari uchumi umeanza kushika kasi, akaendelea nao ila kutokana na sera zake za tax cut atarudisha nchi kwenye recession tena muda si mrefu.

Hizi sera za Reaganomics (taxcut) za republiCANT zimekuwa zikiharibu uchumi wa Marekani toka kipindi cha Reagan, kila Rais anayefuata sera hizi anapomaliza muda wake nchi inakuwa hoi (Reagan, Bush Sr, Bush Jr, na sasa Trump.)
 
Mimi nakaa Marekani naelewa hali halisi ilivyo, sasa hivi kuna wasiwasi wa kuja kwa recession kwa kuwa pesa nyingi ziligawiwa kwa matajiri ambao badala ya kuwekeza nchini wao wanaziopeleka nje ya Marekani ili wasilipe kodi.

Huo uchumi mzuri unaouona ni kutokana na sera za Obama ambazo ziliitoa Marekani kwenye recession iliyosababishwa na vita na sera mbovu za taxcut wakati wa Bush. Trump alikuta teyari uchumi umeanza kushika kasi, akaendelea nao ila kutokana na sera zake za tax cut atarudisha nchi kwenye recession tena muda si mrefu.

Hizi sera za Reaganomics (taxcut) za republiCANT zimekuwa zikiharibu uchumi wa Marekani toka kipindi cha Reagan, kila Rais anayefuata sera hizi anapomaliza muda wake nchi inakuwa hoi (Reagan, Bush Sr, Bush Jr, na sasa Trump.)
 
Mimi nakaa Marekani naelewa hali halisi ilivyo, sasa hivi kuna wasiwasi wa kuja kwa recession kwa kuwa pesa nyingi ziligawiwa kwa matajiri ambao badala ya kuwekeza nchini wao wanaziopeleka nje ya Marekani ili wasilipe kodi.

Huo uchumi mzuri unaouona ni kutokana na sera za Obama ambazo ziliitoa Marekani kwenye recession iliyosababishwa na vita na sera mbovu za taxcut wakati wa Bush. Trump alikuta teyari uchumi umeanza kushika kasi, akaendelea nao ila kutokana na sera zake za tax cut atarudisha nchi kwenye recession tena muda si mrefu.

Hizi sera za Reaganomics (taxcut) za republiCANT zimekuwa zikiharibu uchumi wa Marekani toka kipindi cha Reagan, kila Rais anayefuata sera hizi anapomaliza muda wake nchi inakuwa hoi (Reagan, Bush Sr, Bush Jr, na sasa Trump.)
Trump economy is extremely good .
 
Tatizo lako una angalia sana Rachel Maddow
 
Siangalii CNN nimejionea haya kwa miaka kadhaa.

Nimeshuhudia utawala wa marais toka kipindi cha Clinton-Bush-Obama-Trump ninaelewa fika sera za taxcut zinavyoharibu uchumi.

State yangu ni RepubliCANT, walikuja na sera hizo wakaharibu uchumi vibaya mno mpaka pesa za kuendesha public schools na libraries zikakosekana.

Milingoti ya alama za barabarani zilikuwa ni za chuma, wakazibadlisha kuwa za mbao kwa kuwa state haina pesa za kutosha. Barabara zimekuwa hazifanyiwi ukarabati kwa muda muafaka kwakuwa pesa haipo.
Kama uchumi wa trump m baya Mbona hawazungumzii uchumi .kutwa impeachment mliumbuka na muller babu ana memory loss
 
Attachments

  • 865A8D31-41FF-4E1B-9113-DCB91A15E66B.jpeg
    865A8D31-41FF-4E1B-9113-DCB91A15E66B.jpeg
    25.1 KB · Views: 18
  • 3B16C33A-654F-4D10-BA57-51E921C1737A.jpeg
    3B16C33A-654F-4D10-BA57-51E921C1737A.jpeg
    38.9 KB · Views: 12
  • A87258AB-ECCD-4572-9820-4FE766DE6387.jpeg
    A87258AB-ECCD-4572-9820-4FE766DE6387.jpeg
    32.7 KB · Views: 15
Siangalii CNN nimejionea haya kwa miaka kadhaa.

Nimeshuhudia utawala wa marais toka kipindi cha Clinton-Bush-Obama-Trump ninaelewa fika sera za taxcut zinavyoharibu uchumi.

State yangu ni RepubliCANT, walikuja na sera hizo wakaharibu uchumi vibaya mno mpaka pesa za kuendesha public schools na libraries zikakosekana.

Milingoti ya alama za barabarani zilikuwa ni za chuma, wakazibadlisha kuwa za mbao kwa kuwa state haina pesa za kutosha. Barabara zimekuwa hazifanyiwi ukarabati kwa muda muafaka kwakuwa pesa haipo.
 
Attachments

  • D502030B-A4B5-4C84-AD49-5B0F7E5B6F4D.jpeg
    D502030B-A4B5-4C84-AD49-5B0F7E5B6F4D.jpeg
    27.2 KB · Views: 15
  • C3EEC65A-9C30-4F21-A31E-39AED1EA2858.jpeg
    C3EEC65A-9C30-4F21-A31E-39AED1EA2858.jpeg
    27.6 KB · Views: 15
Kama uchumi wa trump m baya Mbona hawazungumzii uchumi .kutwa impeachment mliumbuka na muller babu ana memory loss
Kimsingi uchumi wa Obama haujabadilishwa isipokuwa tax cut pekee ambayo effect yake itaonekana baada ya muda.

Wewe labda US umeijulia juzi, wakati Clinton anaondoka kulikuwa na surplus na Bush alipokuja alikuta uchumi bado ulikuwa mzuri, akaitapanya pesa lakini uchumi ulikuwa unaonekana bado uko vizuri mpaka 2008 ndiyo matatizo yakaonekana.

2004 Bush alipitisha sheria ya taxcut $3.1 Tr, katika hizo $3 Tr, $2 zilikwenda kwa 1% na hiyo trillion $1 iliyobaki ndiyo tukapewa watu milioni 300 (cheki zilikuwa kati ya $300-$600) baada ya hapo ukijumlisha na vita uchumi ukaporomoka.

Hata wakati wa Reagan ilikuwa hivyo hivyo, taxcut iliharibu uchumi sana.
 
Wewe mbeba box Fanya kazi acha kutamani Pesa za kuhongwa
 
Mimi nakaa Marekani naelewa hali halisi ilivyo, sasa hivi kuna wasiwasi wa kuja kwa recession kwa kuwa pesa nyingi ziligawiwa kwa matajiri ambao badala ya kuwekeza nchini wao wanaziopeleka nje ya Marekani ili wasilipe kodi.

Huo uchumi mzuri unaouona ni kutokana na sera za Obama ambazo ziliitoa Marekani kwenye recession iliyosababishwa na vita na sera mbovu za taxcut wakati wa Bush. Trump alikuta teyari uchumi umeanza kushika kasi, akaendelea nao ila kutokana na sera zake za tax cut atarudisha nchi kwenye recession tena muda si mrefu.

Hizi sera za Reaganomics (taxcut) za republiCANT zimekuwa zikiharibu uchumi wa Marekani toka kipindi cha Reagan, kila Rais anayefuata sera hizi anapomaliza muda wake nchi inakuwa hoi (Reagan, Bush Sr, Bush Jr, na sasa Trump.)
Wewe utakuwa nigger unamtetea nigger mwenzako Obama na kumponda Trump kwa kuwa sera zake kwa watu kama nyie si nzuri sana
 
Back
Top Bottom