Trump promised a wall where as Magufuli is building a wall!

Trump promised a wall where as Magufuli is building a wall!

Cyo nashangilia maigizo ukubali ukatae ndye rais for 5 years, penye zuri siachi kupongeza, we hata ukiangalia nyuzi zangu penye akikosea mi nabomu tu...
That is neither here nor there.

Ni kama umesema kavaa viatu vyeusi leo. Wakati mimi sijapinga hilo.

Nani kapinga Magufuli rais?

Kama rais ndiyo hakosei?

Kama rais ndiyo asisemwe?

What is your point unaposema Magufuli rais?
 
Hii ishu ilitakiwa kujengwa tokea mwaka 2002 lakini report ilikaliwa tu,kwaiyo usione kama amekurupuka tu na kumbuka yeye ana access ya kujua resources za Tanzania kuliko wewe mkuu.
Hii habari ya mtu kuwa na access ya kujua habari haina maana kwamba anajua habari.

Mimi nina subscription za Wall St Journal na New York Times. Naletewa magazeti daily nyumbani na nina access kusoma online.

Hilo halina maana kwamba mimi kwa kuwa nina access hiyo nasoma articles zote za magazeti hayo na mtu ambaye hana subscription hizo hawezi kujua kitu zaidi yangu kwa kusoma free articles tu online.

Kwa hiyo logic yako ya kusema mtu mwenye access zaidi ndiye ana knowledge zaidi ni wrong logic.

Na hili ni tatizo kubwa. Kwa sababu wananchi kwa kufikiri hivi, wanawaachia viongozi waamue wenyewe kwa kufikiri viongozi wanajua zaidi. Na kama viongozi wanajua zaidi au hawajui zaidi, kuwaachia waamue wenyewe ni vibaya, kwa sababu wanaweza kuamua kwa ubinafsi wao kula rushwa tu kama wananchi hawashiriki katika maamuzi.

Hili ndilo tatizo kubwa kuliko yote linalosababisha umasikini wa Tanzania.

Tatizo kubwa kuliko yote.
 
Achana nae atakuumiza kichwa bure. Elimu inaibua fulsa zilizopo kwenye bongo zetu. Elimu haikupaswa kutolewa kwa kila mtu. Unategemea nini kama chizi akijiendeleza au kuendelezwa kielimu?
Kweli mkuu...nimekusoma, hapa tunaweza kuumiza vichwa bure
 
Hii habari ya mtu kuwa na access ya kujua habari haina maana kwamba anajua habari.

Mimi nina subscription za Wall St Journal na New York Times. Naletewa magazeti daily nyumbani na nina access kusoma online.

Hilo halina maana kwamba mimi kwa kuwa nina access hiyo nasoma articles zote za magazeti hayo na mtu ambaye hana subscription hizo hawezi kujua kitu zaidi yangu kwa kusoma free articles tu online.

Kwa hiyo logic yako ya kusema mtu mwenye access zaidi ndiye ana knowledge zaidi ni wrong logic.

Na hili ni tatizo kubwa. Kwa sababu wananchi kwa kufikiri hivi, wanawaachia viongozi waamue wenyewe kwa kufikiri viongozi wanajua zaidi. Na kama viongozi wanajua zaidi au hawajui zaidi, kuwaachia waamue wenyewe ni vibaya, kwa sababu wanaweza kuamua kwa ubinafsi wao kula rushwa tu kama wananchi hawashiriki katika maamuzi.

Hili ndilo tatizo kubwa kuliko yote linalosababisha umasikini wa Tanzania.

Tatizo kubwa kuliko yote.
Kwaiyo kujenga ukuta ni wazo baya au wewe ulipendekeza wafanye nini?
 
Pope Francis told Trump point blank that building walls instead of bridges is very unchristian!
 
Ukuta umeshakamilika mambo ni hot hot
 
Hii ishu ilitakiwa kujengwa tokea mwaka 2002 lakini report ilikaliwa tu,kwaiyo usione kama amekurupuka tu na kumbuka yeye ana access ya kujua resources za Tanzania kuliko wewe mkuu.
huu ni wakati wa utekelezaji tu
 
Ukuta umeshakamilika mambo ni hot hot
Bora unyimwe Mali.upewe akili.
Serikali imeshindwa kuyachimba hayo madini na kuyauza.na kuwaletea wananchi maendeleo.
Hayo madini mmeyakuta.
Mnayalinda mpaka lini?
 
Just for your information and to keep the record clear. The fenced wall between USA and Mexico has been there long before even DT had dreamt he would become a president
Rest easy Magufuli
 
Pongezi kwa kuijenga lakini
Ukuta wa merererani umejengwa jumla ya km 24....
Border la us na mexico ni tKriban km 3000 na usheh mzee
Tukirudi kwenye kudhibiti tz waendelee maana kipindi cha nyuma wakenya ndy walikuwa wanaonekana kuuza zaidi kuliko sisi

Ova
 
Back
Top Bottom