Trump promised a wall where as Magufuli is building a wall!

If you want to know who the heck is Magufuli go to Mererani where as The president of United Republic of Tanzania has ordered the building of a great WALL to protect precious stones of Tanzinite.

Donald Trump has struggled to build a wall against mexicans while Tanzanian President has ordered to build a Wall which will protect Tanzanite mining that produce expensive unique blue stones.

currently reserve soldiers/National service locally known as Jeshi la Kujenga Taifa(Soldiers who build the Nation) are employed to build such a WALL one day after Magufuli's order.

So wahat?
 
Sorry sikujua kuwa ukuta wa Mirerani unagawanya wananchi nilijua kuwa unazunguka machimbo tu.

Mkuu hili jipya
Kama hapa tu kuna mjadala unaogawanya wananchi kuhusu ukuta huu, wachimba madini wenyewe wanalalamika rais kakurupuka kuamrisha ukuta ujengwe kabla ya kuwasikiliza, ukuta utaachaje kuwagawanya wananchi?

Magufuli kama nilivyosema awali, tatizo lake ni kujiona anaweza kwenda sehemu akatoa suluhisho la tatizo bila hata kukaa kuzungumza na wenyeji wa pale.

Hii ni mentality ya kimangimeza na kikoloni.
 
If you want to know who the heck is Magufuli go to Mererani where as The president of United Republic of Tanzania has ordered the building of a great WALL to protect precious stones of Tanzinite.

Donald Trump has struggled to build a wall against mexicans while Tanzanian President has ordered to build a Wall which will protect Tanzanite mining that produce expensive unique blue stones.

currently reserve soldiers/National service locally known as Jeshi la Kujenga Taifa(Soldiers who build the Nation) are employed to build such a WALL one day after Magufuli's order.
ukiwa umezaliwa mtumwa kazi kusifia tu. hats mambo ya kipuuzi unasifia tu.
 
A physical barrier can never unite disparate states of mind.
Tanzanite miners wote watapita geti moja hakuna njia 100 za panya tena, terminal yao wote ni ndani, utasemaje ni kuwagawa, tanzanite haitapatikana tena Nairobi wala India kwa njia ya panya, make wao ndo inasemekana maproducer wakubwa duniani.
 
Kama rais katoa uamuzi bila hata kuwasikiliza Tanzanite miners, ambao wanaweza kuwa na soluton bora kuliko yake, na wengine wanaona ukuta hauna tija, basi kawagawanya.

Utahakikishaje ukuta unalinda Tanzanite wakati hujui Tanzanite ilipoanzia wala kuishia?

Utahakikishaje ukuta unalinda Tanzanite wakati wachimbaji ni wazoefu wa kuchimba chini kwa chini? Utaufanya huo ukuta uende chini umbali gani ambapo hawawezi kuchimba?

Unajihakikishiaje kwamba Tanzanite haitapatikana tena Nairobi? Wanunuzi wa Tanzanite wakija kwenye soko la Nairobi utazuiaje Tanzanite kupatikana Nairobi?

Tatizo la Magufuli anapenda majibu mepesi kwa matatizo yanayotaka kufikiri kwa kina.Ukuta si suluhisho la suala hili.
 
Kwa hiyo na wewe unashabikia kuwa Tanzanite inatoka Kenya? Acha hizo, kudhibiti kitu kuna kosa gani, kwa hiyo wewe solution yako ni ipi, ukuta usijengwe, iendelee kuibiwa ikipelekwa kenya, miners ndo wame support huu mpango kuwa utasaidia sana, fatilia taarifa za habari kama hawakuunga mkono, wewe kufikia haya maamuzi unadhani hakuwa consult, kila consultation ansyo famya rais siyo lazima akwambie.
 
Kwa hiyo na wewe unashabikia kuwa Tanzanite inatoka Kenya?

Wapi nimesema nashabikia kuwa Tanzanite inatoka Kenya? Kutoka Kenya maana yake nini?

Acha hizo, kudhibiti kitu kuna kosa gani,

Kudhibiti kitu hakuna kosa, lakini ukuta haudhibiti kitu kwa sababu watu watachimba chini kuupita ukuta.

kwa hiyo wewe solution yako ni ipi, ukuta usijengwe, iendelee kuibiwa ikipelekwa kenya,

Unaniuliza swali mimi halafu unalijibu wewe?

miners ndo wame support huu mpango kuwa utasaidia sana,

Miners gani? Utasaidia nini?

fatilia taarifa za habari kama hawakuunga mkono,

Taarifa za habari gani? Weka source hapa.

wewe kufikia haya maamuzi unadhani hakuwa consult, kila consultation ansyo famya rais siyo lazima akwambie.

Kawa consult wapi? Weka source hapa.
 
Wapi nimesema nashabikia kuwa Tanzanite inatoka Kenya? Kutoka Kenya maana yake nini?

Kudhibiti kitu hakuna kosa, lakini ukuta haudhibiti kitu kwa sababu watu watachimba chini kuupita ukuta.

Unaniuliza swali mimi halafu unalijibu wewe?

Miners gani? Utasaidia nini?

Taarifa za habari gani? Weka source hapa.

Kawa consult wapi? Weka source hapa.
Kwa rais huwa akiconsult huwa anakuletea source jf? Wewe una akili sana kuliko waliona ujengwe?
Suluhisho lako, ulitaka kifanyike nini ili serikali ipate mapato yake kwa pmja, lete wazo jipya...najua kupinga kwako utakuwa una solution, ianike hapa tuichambue
 
Kani rais ndiye kasema ame consult watu hapa JF?

Umeandika kitu ambacho huwezi ku prove.

Unaingia kwenye uongo.

Suluhisho langu kitu cha kwanza alitakiwa kuka pamoja na hao wachimbaji aongee nao wampe mawazo yao, sio kuja na solution yake ya ajabu kutoka Magogoni.

Watu kazi yao kuchimba chini, utawajengea ukuta uliokwenda chini kiasi gani kuhakikisha hawawezi kutengeneza upenyo?
 
Kwa hiyo unaona hii ni akili yke mwenyewe? Rais ni taasis usifikir kilakitu huwa hapati ushaur, hadi kuwambia jkt waujenge, watu walisha kaa mezani na hesabu zilishapigwa. Pili kusema watapitia chini hilo ni swala la ulinzi na usimamizi, kma wameamua kujenga...kwa ndani hawawezi kushindwa kudhibiti usslama ambpo wewe mwenyewe umeshakiri na kujua na kuwapa mbinu kuwa kuna wizi wa nchini kwa chini
 
Mafisadi utawasikia tu. Kwa mandishi Na kwa maneno. Kwa miaka 20, tumekuwa tukiomba serekali kujenga uzio pale mererani. Leo katokea mwaume kaamua kujenga. Mabwabwa wanafitinisha Na kupinga. Eti wanataka kujenga daraja la kutuunganishi ha ha ha ha wezi watupu nyie. Nahofu sio watazania wanahoji kujengwa kwa ukuta kule. Sasa tuna on a nani wanao miliki madini hayo. Je? Ni Kenya. India. SA au ni TANZANIA
 
Kwa hiyo unaona hii ni akili yke mwenyewe? Rais ni taasis usifikir kilakitu huwa hapati ushaur, hadi kuwambia jkt waujenge, watu walisha kaa mezani na hesabu zilishapigwa. Pili kusema watapitia chini hilo ni swala la ulinzi na usimamizi, kma wameamua kujenga...kwa ndani hawawezi kushindwa kudhibiti usslama ambpo wewe mwenyewe umeshakiri na kujua na kuwapa mbinu kuwa kuna wizi wa nchini kwa chini
Tatizo unaamini sana habari ya "rais ni taasisi".

Urais ni taasisi. Rais ni mtu.

Rais angetaka kufuata utaasisi asingemuondoa hazina Lawrence Mafuru.

Sina hakika kama hata unamfahamu ni nani.
 
Unajua ukuta marekani wanaotaka jenga, urefu na gharama zake? Sio senyenge mzee
 
Back
Top Bottom