Trump promised a wall where as Magufuli is building a wall!

If you want to know who the heck is Magufuli go to Mererani where as The president of United Republic of Tanzania has ordered the building of a great WALL to protect precious stones of Tanzinite.

Donald Trump has struggled to build a wall against mexicans while Tanzanian President has ordered to build a Wall which will protect Tanzanite mining that produce expensive unique blue stones.

currently reserve soldiers/National service locally known as Jeshi la Kujenga Taifa(Soldiers who build the Nation) are employed to build such a WALL one day after Magufuli's order.
Heck: expressing surprise, frustration, or dismay.
 
Nimesema humu: bandarini kuna kuta lakini mpaka kesho wizi na ukwepaji wa kodi upo. Magufuli analindwa masaa 24 Ikulu yenye ukuta mrefu, lakini Ikulu bado ni sehemu ya kuandaa na kupiga dili za wizi. Migodi yote ya Acacia ina kuta, lakini kila kukicha Magufuli analalamikia wizi wa huko!!

Shida ni nyapala kupewa managerial position. Kila kitu anafikiri na kutenda mechanically, ilhali soft touches tu zinahitajika.
 
If you want to know who the heck is Magufuli go to Mererani where as The president of United Republic of Tanzania has ordered the building of a great WALL to protect precious stones of Tanzinite.

Donald Trump has struggled to build a wall against mexicans while Tanzanian President has ordered to build a Wall which will protect Tanzanite mining that produce expensive unique blue stones.

currently reserve soldiers/National service locally known as Jeshi la Kujenga Taifa(Soldiers who build the Nation) are employed to build such a WALL one day after Magufuli's order.
Wheres the one has to ask the congress to allocate resources, the other just orders and resources miraculously appears.
 
Hata me nimejenga ukuta kuzunguka nyumba yangu..ntakuwa nimemzidi trump!!
 
Tatizo unaamini sana habari ya "rais ni taasisi".

Urais ni taasisi. Rais ni mtu.

Rais angetaka kufuata utaasisi asingemuondoa hazina Lawrence Mafuru.

Sina hakika kama hata unamfahamu ni nani.
Rais wangu lazima nimwamini....yes sikumpa kura mimi lkn ndye rais wetu na ndye anayetuongoza mimi na wewe, huyo Mafuru wako nsmfahamu kuliko wewe unavyofikiria na ni kabila moja na mimi, alipokuwa kiongozi muda amefanya nini hadi umseme saa hizi, angekuwa mzuri sana huyo mafuru, mbna hakulipatia ufumbuzi, leo ndo awe mzuri baada ya kutumbuliwa? Haturudi nyuma, alishindwa kuleta mabadiliko kwa wte alioteuliwa leo hii ndo kawa mzuri
 
If you want to know who the heck is Magufuli go to Mererani where as The president of United Republic of Tanzania has ordered the building of a great WALL to protect precious stones of Tanzinite.

Donald Trump has struggled to build a wall against mexicans while Tanzanian President has ordered to build a Wall which will protect Tanzanite mining that produce expensive unique blue stones.

currently reserve soldiers/National service locally known as Jeshi la Kujenga Taifa(Soldiers who build the Nation) are employed to build such a WALL one day after Magufuli's order.
Kule Marekani watu wanapinga Hadharani,Jaribu kupinga Ujenzi wa Mererani hapa Nchini
 
Umeniuliza kma namfahamu, nimekwambia namfahamu kuliko unavyojua wewe...so niambie ukabila wangu nimekubagua wapi?
Wewe ni mkabila halafu ni mjinga.

Utajuaje unamjua mtu kuliko ninavyomjua mimi wakati hunijui mimi nani?
 
Nimeshakupuza, ukiona mtu mnalumbana kwa hoja, akaanza kuleta matusi jua amelemewa kwa hiyo huna jipya, enfelea tu kujipa matumaini, mi nimeshakupuuza
Hujanipuuza. Umenijibu.

Ungenipuuza usingenijibu.

Hujui kama unaenda au unarudi.

Huna logical consistency.

Ndiyo maana unadanganywa na Magufuli.
 
Magufuli ndo rais, umchukie, usimchukie au adanganye asidanganye anakuongoza wewe na kujifanya unajua...u will not change that.
Wewe hata hujui kwamba nchi inaongozwa na wananchi. Si rais.

Kwa sababu huna elimu ya uraia.
 
Rais wa hao wananchi ni Magufuli, hutaibadilisha hiyo...wala haikuhitaji kwenda darasani, ndo maana nimekwambia kichwani mwako kuna funza tu.
 
Ulishaona hao wananchi wanakaa ikulu na kulindwa, Rais amepewa ridhaa na wananchi kuongoza cyo kuwa nchi insongozwa na wananchi...wananchi wamempa mtu mmoja ridhaa ya kuwaongoza shuleni wewe ulienda kuspmea ujinga kila nchi ina wananchi na waba kiongozi wao, rudi shule ukasome upya, hilo somo la uraia ulisoma darasa la kwanza.kama nchi inaongozwa na raia huo ukuta unaojengwa raia walipiga kura lini ili kupitisha ujengwe, rais anayeongoza wananchi alisema ujengwe, sasa kma wewe ni mwananchi unayempinga rais, nenda pale useme usijengwe...
 
Fikra kama hizi ndizo zinasababisha Tanzania iendelee kuwa masikini miaka nenda rudi.

Na zikiendekezwa umasikini hautaondoka hata miaka mia ijayo.
 
Fikra kama hizi ndizo zinasababisha Tanzania iendelee kuwa masikini miaka nenda rudi.
Tuache ubishi wa matusi, Huna hoja...leta hoja, kama wewe mwananchi ndo unamuongoza rais au Tanzania sema ukuta usijengwe. Nakupa na mfano hai, mtwara wananchi walisema bomba la gesi lisije dar...rais akasema litafika tu, uliona nani alikuwa mshindi rais au wananchi(watu walileta fujo lkn....), haiitaji kwenda shule kujua Tanzania inaongozwa na nani...leta hoja za kupinga hili nalo, pia chchte kinachopitishwa lazima rais aweke sahihi ndo kiwe sheria, akikataa inaishia hapo, kwa hiyo Tanzania hii inaongozwa na nani?
 
Katika maisha yako yote ushawahi kumsikia mtu anaitwa Rousseau?
 
Back
Top Bottom