Trump: Nilisema waislamu hawafai kuingia Marekani

Trump: Nilisema waislamu hawafai kuingia Marekani

Status
Not open for further replies.

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,464
'Waislamu hawafai kuingia Marekani' -Trump

160612094536_donald_trump_624x351_ap_nocredit.jpg

Mgombea wa kiti cha urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump, amesema mauaji ya watu 50 katika baa moja ya wapenzi wa jinsia moja huko Orlando inathibitisha msimamo wake kwamba waislamu wapigwe marufuku kukanyaga ardhi ya Marekani.

Trump amemkashifu mpinzani wake wa chama cha republican Bi Hillary Clinton, kwa kutodadisi sababu za mtu huyo kutenda mauaji hayo.

160613025747_donald_trump_640x360_twitter.jpg
Amesema hatua kali zinapaswa kuchukuliwa dhidi ya waislamu.

Upande wa Bi Clinton wakitoa risala za pole kwa waathiriwa wa mkasa huo papo hapo wamemtaja Trump kama mtoto anaejitweza ovyo kwa jinsi anavyougeuza mkasa huo wa kitaifa kujipongeza binafsi.

160525180454_fbi_640x360_getty_nocredit.jpg

Wakati huo huo Shirika la kijasusi la FBI limesema mtu aliyewaua watu 50 kwa kuwafyatulia risasi katika klabu moja ya wapenzi ya jinsia alikiri kuunga mkono kundi la kigaidi la IS.

Wakati huo huo Shirika la kijasusi la FBI limesema mtu aliyewaua watu 50 kwa kuwafyatulia risasi katika klabu moja ya wapenzi ya jinsia alikiri kuunga mkono kundi la kigaidi la IS.

160612091039_orlando_california_america_shooting_640x360_epa_nocredit.jpg

FBI wameongeza kusema kuwa wamekuwa wakimfanyia uchunguzi mtu huyo Omar Mateen tangu 2013 baada ya kutoa matamshi ya chuki akiwa kazini.

160609193615_clinton_trump_624x415_afp_nocredit.jpg

Babake Mateen amesema anaamini kitendo alichokifanya wanawe kilitokana na msukumo wa hisia zake dhidi ya wanaondeleza mapenzi ya jinsia moja na wala si kwa sababu za kidini.

Naye mkewe wa zamani Sitora Yusufiy, amemwelezea Mateen kama mtu wa aliyekuwa tabia za kigomvi na kutaka kupiga watu lakini hakuwa na itikadi kali za kidini.

============

NB: Ukitaka kujua unafiki wa huyu bwana Marekani hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi sana ya mauwaji ya kibaguzi mauwaji ya mitaani hata juzi mwanamuziki kauwawa club hatujamsikia kusema lolote juu ya mauaji hayo, leo mashoga kushambuliwa na mtu mwenye jina la kiislamu imekuwa ndio habari kwa wenye chuki na uislamu.
 
Hilary Clinton sio REPUBLICAN ni DEMOCRATS! Mgombea wa Republican ndo Mr TRUMP. na kwa mkinachoendelea hapo anapata umaarufu wacha muone wamarekani zilivyopinda.
 
Hakuna anaeweza kupaambana na uislamu akashinda,huyo bado hajazaliwa.

Trump anaongelea kuhusu magaidi sio waislam.

Trump hana ubavu wa kuutisha uislamu hata siku moja.

By the way naunga mkono Trump kuwa rais wa marekani kuliko yule mwanga hillaly Demon Clinton
 
Kwani waislam wanasemaje juu ya wanavyosemwa kutokana na matukio ya ukatili dhidi ya binadamu yanayotekelezwa kwa jina la islam!!!

Kwa maoni yangu mimi muislamu ila siwakilishi waislamu wengine naunga mkono mauwaji yale ,tena jamaa angeingia na mabomu ya mkono pia naona kauwa wachache sana angemaliza club nzima.
 
Kwa maoni yangu mimi muislamu ila siwakilishi waislamu wengine naunga mkono mauwaji yale ,tena jamaa angeingia na mabomu ya mkono pia naona kauwa wachache sana angemaliza club nzima.
Hahaha, na yule mtume wa warabu aliezini na mtoto wa miaka 9 afanyweje, au mambo ya double standard?
 
Hakuna anaeweza kupaambana na uislamu akashinda,huyo bado hajazaliwa.

Trump anaongelea kuhusu magaidi sio waislam.

Trump hana ubavu wa kuutisha uislamu hata siku moja.

By the way naunga mkono Trump kuwa rais wa marekani kuliko yule mwanga hillaly Demon Clinton
mkuu,unamhofia bimkubwa sio?
 
Kwani waislam wanasemaje juu ya wanavyosemwa kutokana na matukio ya ukatili dhidi ya binadamu yanayotekelezwa kwa jina la islam!!!
Mpendwa !! WAISLAM wanapeta na kupaa juu "tumeweka pamba masikioni" hao walishaSemaga saaana, walisha kejeli/kejeri saaana, walishasononoeka, walishakereka saana.... WHO cares!!
Na bado watamaliza hilaa zaom na visa vyao, majungu yao yote.... tunapuuza tu...!!
 
Kwani waislam wanasemaje juu ya wanavyosemwa kutokana na matukio ya ukatili dhidi ya binadamu yanayotekelezwa kwa jina la islam!!!
Muslim leaders around the US have condemned the attacks and urged Americans to donate blood for the 53 men and women in hospitals, many in dire condition.

“We condemn this monstrous attack and offer our heartfelt condolences to the families and loved ones of all those killed or injured,’ the head of the Florida chapter of the Council of American-Islamic Relations, Rasha Mubarak, said in a statement.

“The Muslim community joins our fellow Americans in repudiating anyone or any group that would claim to justify or excuse such an appalling act of violence.”
Chanzo: Florida nightclub shooting: 50 killed and 53 injured in 'act of terror' – rolling updates
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom