Trump: Nilisema waislamu hawafai kuingia Marekani

Status
Not open for further replies.
Ukienda Angola waislamu wanaishi kwa hofu sana maana imani yao haitakiwi na hasa miskiti ila kwa waamerika waache wakione cha moto huenda wakagundua kosa wanalofanya kukaribisha watu ambao hata kwenye nchi zao wamezoea kuuwana
 
Hakuna anaeweza kupaambana na uislamu akashinda,huyo bado hajazaliwa.

Trump anaongelea kuhusu magaidi sio waislam.

Trump hana ubavu wa kuutisha uislamu hata siku moja.

By the way naunga mkono Trump kuwa rais wa marekani kuliko yule mwanga hillaly Demon Clinton
Wewe ndiye unayeamini hivyo. Hakuna anayeweza kushindana na nguvu ya Mungu, lakini siyo uislam, uislam ni dini kama katoliki, waangalikana, n.k. Dini zote ktk nyakati tofauti tofauti zimeweza kuwa na nguvu na kutawala dunia ila Mungu yeye amekuwa mtemi siku zote. Hivyo hata huo uislam wako unaweza kufutika kabisa.
 
Chukua gwala mwana
 
Hizo ndoto ambazo unaota huku uko macho pasipo kulala.
 
Uislam umekataza ndoa za jinsia moja ni laana.Lakini hakuna mahali uislamu ameamrisha waislamu kuua ispokua ni uislamu/waislamu wapigwa vita (wanakatazwa kuswali,kufunga,miskiti yabomolewa na kdhlk).
Mungu ameeka pepo na Moto atawaadhibu wenye madhambi na atawalipa walio fanya mema,sasa watu wakitaka kufanya dhambi ukiwauwa si wawapeleka kwa mungu na dhambi kidogo

Magaidi ni watu ambao wanajipendekeza kwa Mungu.Usiwape waislamu wote credit ya magaidi,kila mtu na mzigo wake.
 
Japo siungi mkono kabisa yaan kabisa hasaaa mapenzi ya jinsia moja ila siungi mkono hata kidogo mauaji.
 
Wewe ndiye unayeamini hivyo. Hakuna anayeweza kushindana na nguvu ya Mungu, lakini siyo uislam, uislam ni dini kama katoliki, waangalikana, n.k. Dini zote ktk nyakati tofauti tofauti zimeweza kuwa na nguvu na kutawala dunia ila Mungu yeye amekuwa mtemi siku zote. Hivyo hata huo uislam wako unaweza kufutika kabisa.
hakuna kitu permanent,hizi dini nazo zitapita ila hesabu miaka 3000 ijayo,hatutakuwepo kwahiyo kuongelea kufutika dini kwasasa ni upotevu wa mda tu,zinaweza kufutika ama kuundergoe evolution kama ukristo unavyoenda unabadilika with time
 
Meanwhile her Republican rival, Donald Trump, said Mr Obama should step down for refusing to use the words "radical Islam" when condemning the attack.

"If we do not get tough and smart real fast, we are not going to have a country any more," he said.

Hayo hapo juu ni maneno ya Trump mengine mnaongezea tu.Ni sawa na nukuu nyingi zinazotolewa na wadau mbali mbali na kuzifanya ni maneno ya Robert Mugabe wakati si kweli.
 
Ukienda Angola waislamu wanaishi kwa hofu sana maana imani yao haitakiwi na hasa miskiti ila kwa waamerika waache wakione cha moto huenda wakagundua kosa wanalofanya kukaribisha watu ambao hata kwenye nchi zao wamezoea kuuwana
kwa kauli hii inaonekana wewe ni mbaguzi pia. hakuna mahala uislamu unaridhia mauji bali chuki zenu binafsi mnaeneza jambo lililo kinyume na uislamu. MUNGU ATAAWAHUKUMU
 
Pia, kuna haja ya kuuwa wale wanaofunga ndoa na mke zaidi ya mmoja.Maana Mungu alisema Mume awe na Mke mmoja
 
Hakuna anaeweza kupaambana na uislamu akashinda,huyo bado hajazaliwa.

Trump anaongelea kuhusu magaidi sio waislam.

Trump hana ubavu wa kuutisha uislamu hata siku moja.

By the way naunga mkono Trump kuwa rais wa marekani kuliko yule mwanga hillaly Demon Clinton
Kwani nani aliwahi kupambana na "imani" yoyote na akashinda? Hata ukisema upambane na watambikaji leo hutashinda.
 
So in other words Islam and terrorism are twins....!?!?Trump awaombe radhi waislam...
 
Kwa maoni yangu mimi muislamu ila siwakilishi waislamu wengine naunga mkono mauwaji yale ,tena jamaa angeingia na mabomu ya mkono pia naona kauwa wachache sana angemaliza club nzima.
Kaka, huhitaji binadamu kumsaidia Mungu kufanya kazi yake, yeye anatoa na yeye anatwaa, uwezo wake sasa unaposema ungeomba awaue wote unazihirisha ulivyo na roho mbaya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom