Trump ni rais mzalendo wa kuigwa

Trump ni rais mzalendo wa kuigwa

Unapo fanya kazi na campn binafsi mkataba ukiisha mafao yako ambayo yangesaidia ujiajili wanabana kumbuka nina miaka 27 nina sh 8000000 nizisubir mpaka miaka 55 nitafika kweli najiajili vip? uswahili tutawawezesha vijana kwa njia hiyo hapana too much
 
Leo kwenye vyombo vya habari tumemsikia rais mteule wa marekani trump akitangaza kutopokea mshahara wake ,huyu ndiye mzalendo wa kweli,na ndio raha ya kuchagua rais mfanyabiashara ,pesa kwake si shida anachotaka ni kusaidia marekani,sisi tunachagua rais asiyekuwa hata na kibanda cha mpesa,unategemea nini,lazima awe na tamaa ya fedha na mwisho wa siku anaharibu uchumi wa nchi,

Yeye kila mwenye hela ni mpiga dili kwa sababu haamini kwenye biashara,kama yeye mwenyewe kashindwa kuboresha maisha yake kwa elimu yake na kuwa mfano kwa jamii anapata wapi ujasiri wa kuwaambia wananchi wajiajiri badala yake ameloea kwenye kazi za mishahara atawezaje kuwaongoza wengine,

Wamarekani wamemchagua Trump baada ya kuwambia atatatua tatizo la ajira kwasababu yeye ni mfano halisi wa kujiajiri na kufanikiwa, Trump hakuropoka kuwa ataleta viwanda kama huyu , Kama viwanda ndio suluhisho la ajira basi Trump angeahidi kujenga viwanda vingi sana,

Marais ni marekani na ulaya huku Afrika hatuna marais ni marais matumbo, Wewe unasema ati nitawapunguza mishahara wale waliokuwa wanalipwa mishahara mikubwa waishi kama mashetani wakati yeye analipwa milion 35 kwa mwezi,angepunguza kwanza wa kwake, Huo ni wivu


America ina mambo mengi sana ya msingi yanayohitaji mwongozo thabiti. Wamarekani wamechagua kiongozi mwenye uwezo wa kuwapeleka kule America inatakiwa kwenda kwa sasa lakini si kwa kigezo cha utajiri. acha kupotosha watu wewe.

Ondoa mtazamo wa kijinga kwamba kiongozi atatumia utaalaam wake ama utajiri wake katika kufikia malengo yaliyokusudiwa. Kumbuka nchi siyo mali y amtu mmoja na mahitaji ya taifa yanatofautiana.

Raisi asiyemtaalamu wa uchumi anatarajiwa kutumiwa watalaamu na vyombo vya uchumi vilivyopo kuinua uchumi wa taifa na nchi yake.

Raisi mhandisi asiye mwanajeshi, anategemewa ktutmia wataalamu wa ulinzi na usalama katika kuimarisha usalama wa ndani ya nchi na hata maslahi ya nchi yaliyo nje ya mipaka ya ardhi anayoitawala.

Raisi amepewa madaraka makubw ajuu ya machinery nzima ya serikali zikiwemo raslimali zote. Hawezi kuwa mtaalamu katika kila fani. Hata kama ni mtaalama wa fani zote (maajabu), anapashwa kujua yeye ni mtu mmoja hawezi kuwa kila mahala na kufanya mambo yote kwa waktimmoja.

Kiongozi mzuri anapashwa kutambua kipi kinatakiwa kufanikishwa katika uongozi wake na kuongoza katika ufanisi huo. Raslimila zote ziko chini yake na kwa matumizi ya taifa. Ni akili ya kiongozi makini kutumia rasilimali watu na raslimali zote kuhakikisha malengo yanafikiwa.

Kwa Trump, imetokea amechaguliwa kuwa raisi na akawa tajiri. Utajiri hakiwezi kuwa kigezo cha kumpata kiongozi bora.

Angeweza kuchaguliwa kiongozi mahiri na akawa mwanamke. Uanauke si kigezo cha kumpata kiongozi bora. Angeliweza kuchaguliwa kuwa kiongozi bora na ikatokea akawa ni Mwafrica lakini uanfirica usingekuwa kigezo cha kuwakiongozi bora.

Hayo mambo yote ya jinsia, dini, ukabila , rangi, utajirji, hayawezi kuwa kigezo cha kumpata kiongozi bora.

Tunahitaji viongozi wenye sifa na uwezo sahihi ikiwemo nia na utashi wa kweli wa kuongoza waanchi, kufikia malengo yaliyokubalika na si malengo ya viongozi wala maslahi yao.

Ni upofu ulioje kutamani mtu kukuongoza kwa sababu ni tajiri ama ni maskini, mwanamke ama ni kabila fulani. Haya yote hayamfanyi mtu awe kiongozi bora.

UNAHITAJI KUANZISHA THREAD NYINGINE TUJIFUNZE MISINGI NA MAANZA YA KIONGOZI BORA. VINGINEVYO HAPA NI KUONYESHA UTUPU UNAOTISHA KATIKA HADHARA.
 
Ishi! Mbona yule mama wa TIC alikuwa hachukui mshahara? Wala hilo si jambo la kustaajabisha. Huyu ni mtoto wa manhattan ni mpiga dili wa mjini tu.
 
Watu waache dhihaka, maisha ya Mtanzania ni magum sana kwa sasa, soon or later utaona vuguvugu kubwa kuwai tokea nchini...njaa itawapeleka watu barabarani and there will be no turning back.
 
Leo kwenye vyombo vya habari tumemsikia rais mteule wa marekani trump akitangaza kutopokea mshahara wake ,huyu ndiye mzalendo wa kweli,na ndio raha ya kuchagua rais mfanyabiashara ,pesa kwake si shida anachotaka ni kusaidia marekani,sisi tunachagua rais asiyekuwa hata na kibanda cha mpesa,unategemea nini,lazima awe na tamaa ya fedha na mwisho wa siku anaharibu uchumi wa nchi,

Yeye kila mwenye hela ni mpiga dili kwa sababu haamini kwenye biashara,kama yeye mwenyewe kashindwa kuboresha maisha yake kwa elimu yake na kuwa mfano kwa jamii anapata wapi ujasiri wa kuwaambia wananchi wajiajiri badala yake ameloea kwenye kazi za mishahara atawezaje kuwaongoza wengine,

Wamarekani wamemchagua Trump baada ya kuwambia atatatua tatizo la ajira kwasababu yeye ni mfano halisi wa kujiajiri na kufanikiwa, Trump hakuropoka kuwa ataleta viwanda kama huyu , Kama viwanda ndio suluhisho la ajira basi Trump angeahidi kujenga viwanda vingi sana,

Marais ni marekani na ulaya huku Afrika hatuna marais ni marais matumbo, Wewe unasema ati nitawapunguza mishahara wale waliokuwa wanalipwa mishahara mikubwa waishi kama mashetani wakati yeye analipwa milion 35 kwa mwezi,angepunguza kwanza wa kwake, Huo ni wivu
Hapa tunahimizwa kuchagua matajiri
 
Nimekuelewa sana mleta mada, hii mentality ya kuchagua eti masikini mwenzetu ndio atuletee maendeleo ya kiuchumi tutasubiri sana!

Wahenga walisema, "masikini akipata mat*ako hulia........ "
 
Back
Top Bottom