Hata Mimi naliona hilo😀Hao ni watu wamevaa vikaragosi bwana![]()
Kama wakewenzahawa majamaa bana
Wanahamasisha mapatano... Hata kwenye ufunguzi wa michezo Korea au Sydney nadhani walikuwepoHao ni watu wamevaa vikaragosi bwana![]()
kwakweliKama wakewenza
Mkutano wao ni trh 12/06 kama sijakosea!
Jamaa kaingizwa chaka na wasaniiMkutano wao ni trh 12/06 kama sijakosea!
No. Sio kweli. Hao waigizaji, tazama vizuri
Akili yako inaamini kabisa natszama cnn halafu nisijue hao ni 'pacha' wao? Nime-crop hio picha niliipiga mwenyewe.Jamaa kaingizwa chaka na wasanii