Trump kupiga chini mfumo wa 'Green Card'

Trump kupiga chini mfumo wa 'Green Card'

Ulikua Mfumo Wa Kipuuzi. Afrika Tujenge Nchi Zetu Maana Waafrika Karibia Wote Wanawaza Kwenda Nje Tu, Sio Viongoz Co Wananch, Wasomi Na Wasioenda Shule Wote Wanataka Kwenda Huko Sema Hawajapata Fursa Kule Wataenda Kufanya Nn. Wakisema Kuna ndege Zmekuja Kuchukua Watu Wanaotaka Kwenda Kuishi US Na Ulaya Bure, Angebaki Magu Tu.
It means hata wewe ina enapenda dezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US wana haki kwani huku kuchanganyikana sana na watu wa tamaduni tofauti tofauti ndo kunapelekea IQ yenu kushuka na pia kuleta vitendo viovu kama ugaidi nk.

Keep it up Trump. Ni vema kila moja akabaki pale kupigania ustawi wa taifa lake.
 
Hahah!, asee!
Wanatakiwa waongee Kingereza ipasavyo.

Sasa si watachukuliwa wa Nchi zinazoongea Kingereza pekee?
Wakimalizana na hili wasije kusema wanatakiwa wanaoongea Kingereza bila accent.

Kuongea Kiingereza bila accent maana yake ni nini? Au unamaanisha Kiingereza ambacho sio Queen's English?
 
Kuongea Kiingereza bila accent maana yake ni nini? Au unamaanisha Kiingereza ambacho sio Queen's English?


Haha, hapana sikumaanisha hivyo mkuu maana hata Queen's English ina accent ya Queen's English.
Sikufafanua vizuri lakini nilimaanisha accent ambazo wao hawajazizoea.
Cha kushangaza ni kwamba wao wenyewe wana accent za kikwao lakini huwa wanaona ajabu kusikia za kigeni.
 
Back
Top Bottom