Trump kuondoa vikwazo dhidi ya Iran

Kanjwinjwi

Kanjwinjwi

Senior Member
Joined
Jun 22, 2017
Messages
114
Points
225
Kanjwinjwi

Kanjwinjwi

Senior Member
Joined Jun 22, 2017
114 225

HomeUSA News

Iran thaw coming? After firing chief hawk, Trump hints at lifting sanctions on Tehran
Published time: 11 Sep, 2019 17:59

Donald Trump and Hassan Rouhani © Reuters / Leah Millis and Morteza Nikoubazl
  • 28
Follow RT onRT
Days after saying he had “no problem” meeting his Iranian counterpart Hassan Rouhani and soon after firing his hawkish adviser John Bolton, US President Donald Trump has hinted he may lift some sanctions on Tehran.
Iran has been under crippling US economic sanctions since the US unilaterally withdrew lat May from the Joint Comprehensive Plan of Action (JCPOA, or Iran Nuclear Deal). Relations between Washington and Tehran have since deteriorated, with the sanctions accompanied by a military buildup in the Persian Gulf and back-and-forth threats from both sides.
But, speaking to reporters on Wednesday, Trump gave a vague hint that detente could be on the way. “We’ll see what happens,” he said, when asked about easing sanctions on Iran, with a view to meeting Rouhani at the UN General Assembly later this month
 
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
4,050
Points
2,000
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
4,050 2,000
Hapo Iran atakuwa amefanya concessions ili hilo liweze kufanyika. Vikwazo vimekuwa vikiiumiza sana Iran ila hawawezi tu kukubali waziwazi kwa sababu za unafiki wa kisiasa.
Tusubiri muda utasema.
 
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
6,370
Points
2,000
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
6,370 2,000
Trump is a business man, kama ching ching inahusika sanctins nazo zitafutwa! Achana na mtu mweupe....
 
Kanjwinjwi

Kanjwinjwi

Senior Member
Joined
Jun 22, 2017
Messages
114
Points
225
Kanjwinjwi

Kanjwinjwi

Senior Member
Joined Jun 22, 2017
114 225
Hapo Iran atakuwa amefanya concessions ili hilo liweze kufanyika. Vikwazo vimekuwa vikiiumiza sana Iran ila hawawezi tu kukubali waziwazi kwa sababu za unafiki wa kisiasa.
Tusubiri muda utasema.
Iran alishaweka msimamo wake tangu mwanzo bila vikwazo kuondolewa hafanyi maongezi na ukiangalia kibiasharakushirikiana na Iran kuna maslahi mengi sana ambayo pia US inatahitaji na mwanzo US walidhani wataivamia Iran na badilisha regime kama walivyofanya Iraq na Libya mwisho wa siku wakakutana na kigingi wakagundua ni ngumu haiwezekani kitu ambacho umoja wa ulaya walikiona tangu mwanzo na ndio maana wakawa upande wa Iran wakitetea fursa za kibiashara sasa hapa marekani imekuja kushtuka iko yenyewe na Israel yake huku France na China kila mmoja kwa wakati wake wakichangamkia fursa ya kibiashara ambapo pia mwisho wa siku vikwazo vingelegea vyenyewe automatically
 
R

RTI

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
392
Points
1,000
R

RTI

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2018
392 1,000
Hapo Iran atakuwa amefanya concessions ili hilo liweze kufanyika. Vikwazo vimekuwa vikiiumiza sana Iran ila hawawezi tu kukubali waziwazi kwa sababu za unafiki wa kisiasa.
Tusubiri muda utasema.
Hanna kitu kama hicho kwani lengo la marekani tangu
Hapo Iran atakuwa amefanya concessions ili hilo liweze kufanyika. Vikwazo vimekuwa vikiiumiza sana Iran ila hawawezi tu kukubali waziwazi kwa sababu za unafiki wa kisiasa.
Tusubiri muda utasema.
Acha kutulisha matango pori wewe .
Tangu trump aingie marekani msimamo wake ulikuwa ni kuiondoa serikali ya Iran madarakani na kuidhibiti Isifanye chochote mashariki ya kati.
Hata mwaka Jana Bottom wakati akiwautubia wapinzani wa selikali ya Iran wanao ishi uhamishoni ,aliwambia wajiandae kusherekea kuanguka kwa serikali ya Iran ,lakini yeye ndio kaanza kuanguka wakati Iran bado inadunda.
Hata nyinyi wafuasi wa taifa teule mulikuwa kula siku mkitutambia ya kwamba vikwazo alivyo wekewa haiwezi hata kuvihimili hata kwa miezi sita na serikali itanguka,lakini mpaka sasa ni mwaka wa pili hatuoni hata dalili Iran kuanguka kama mlivyo kuwa mnatuaminisha.
 
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
2,082
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
2,082 2,000
Nadhani hio Habari imekuumiza coz umeskia kua Iran kashinda game, Silaha za Nuclear anazo na miradi yake inaendelea kama kawa na pia vikwazo ataondolewa, hakuna namna
Hapo Iran atakuwa amefanya concessions ili hilo liweze kufanyika. Vikwazo vimekuwa vikiiumiza sana Iran ila hawawezi tu kukubali waziwazi kwa sababu za unafiki wa kisiasa.
Tusubiri muda utasema.
 
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
4,050
Points
2,000
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
4,050 2,000
Iran hana silaha za nuclear. Hizo ni taarifa za redio mbao na vikwazo bado vipo kama ni kuondolewa ni partially tu.
 
Vin Diesel

Vin Diesel

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
8,911
Points
2,000
Vin Diesel

Vin Diesel

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2011
8,911 2,000

HomeUSA News

Iran thaw coming? After firing chief hawk, Trump hints at lifting sanctions on Tehran
Published time: 11 Sep, 2019 17:59

Donald Trump and Hassan Rouhani © Reuters / Leah Millis and Morteza Nikoubazl
  • 28
Follow RT onRT
Days after saying he had “no problem” meeting his Iranian counterpart Hassan Rouhani and soon after firing his hawkish adviser John Bolton, US President Donald Trump has hinted he may lift some sanctions on Tehran.
Iran has been under crippling US economic sanctions since the US unilaterally withdrew lat May from the Joint Comprehensive Plan of Action (JCPOA, or Iran Nuclear Deal). Relations between Washington and Tehran have since deteriorated, with the sanctions accompanied by a military buildup in the Persian Gulf and back-and-forth threats from both sides.
But, speaking to reporters on Wednesday, Trump gave a vague hint that detente could be on the way. “We’ll see what happens,” he said, when asked about easing sanctions on Iran, with a view to meeting Rouhani at the UN General Assembly later this month

Allah Akbar....
 
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
2,082
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
2,082 2,000
Tatizo lenu ndio hilo, mnawaona kama hao marekani ndio wanaojua kila kitu kuhusu kinachoendelea ktk nchi nyengine, hayo mawazo ondoa mkuu, KUHUSU IZRAIL: Izrail ni kikundi cha wahuni kilichopewa silaha na wamagharibi ili kikae kwa nguvu ktk Ardhi za watu so Usifananishe kabisa na Taifa kama Iran, na hawawezi kujua kinachoendelea labda watoe propaganda kuhusu Iran
Iran hawezi kuwa na silaha hizo eti Marekani au Israel wasifahamu. It's not possible.
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
814
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
814 500
Unafkiri kwenye secret tunnels za Iran kunaoteshwa pamba??
Umemjibu nilichotaka mjibu.
Hajui km hadi leo hii Israel na bwana wake wanatafuta namna ya kugundua kuna aina gani za silaha ndan ya zile tunnels na hzo tunnels zipo maeneo gan,maana wahajemi wamerikodi tu kwa ndan halafu wameonesha tu makombora ambayo hayajulikan uwezo wake wala ni aina gani ya makombora na secret tunnel haiko moja ziko zaidi ya moja.

Anakariri maisha huyu jamaa.
 
mjasiliaupeo

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Messages
1,766
Points
2,000
mjasiliaupeo

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2013
1,766 2,000
sisi waTanzania lugha inatupiga chenga sana, na wachangiaji wanachangia kwa kuelewa kichwa cha habari tu
 
Prem 96

Prem 96

Senior Member
Joined
Jul 19, 2019
Messages
196
Points
500
Prem 96

Prem 96

Senior Member
Joined Jul 19, 2019
196 500
Umemjibu nilichotaka mjibu.
Hajui km hadi leo hii Israel na bwana wake wanatafuta namna ya kugundua kuna aina gani za silaha ndan ya zile tunnels na hzo tunnels zipo maeneo gan,maana wahajemi wamerikodi tu kwa ndan halafu wameonesha tu makombora ambayo hayajulikan uwezo wake wala ni aina gani ya makombora na secret tunnel haiko moja ziko zaidi ya moja.

Anakariri maisha huyu jamaa.
ID ya tatu hii
 
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
14,142
Points
2,000
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
14,142 2,000
Iran hawezi kuwa na silaha hizo eti Marekani au Israel wasifahamu. It's not possible.
Wakati India na Pakistan wanatengeneza Marekani walifahamu ??? Halafu dunia ilipofika sasa hivi siyo lazima utengenezee nyumbani kwako.
 
M

Mbolabilika

Senior Member
Joined
Jul 30, 2019
Messages
153
Points
250
M

Mbolabilika

Senior Member
Joined Jul 30, 2019
153 250
Hapo Iran atakuwa amefanya concessions ili hilo liweze kufanyika. Vikwazo vimekuwa vikiiumiza sana Iran ila hawawezi tu kukubali waziwazi kwa sababu za unafiki wa kisiasa.
Tusubiri muda utasema.
Unaonekana ulikua na mawazo ya kitumwa toka kipindi chakula chako maji ya uvuguvugu maana huyo marekani unamchukulia kama nani sijui hata hukumbuki kama utawala wote upo mikononi kwa mwenyezi mungu ndio ashindwi jambo. Hivi hujiulizi kati ya marekani na firauni nani alikua na nguvu na watu wazamani aina kama ya kwako walikua wanaamin hivyohivyo kama firauni hakuna wa kumuweza.
 
Forum statistics

Threads 1,335,187
Members 512,261
Posts 32,498,436
Top