Trump kuhamia Florida imekaaje?

Trump kuhamia Florida imekaaje?

Frolida ndipo ilipo camp david ? Kama ni hapo,ile ni ikulu kabisa ina kila kitu,presidential retreat za wamarekani zina kila kitu
Hata korea kim chini ya chumb chake kuna military complex anawezakuanzisha vita ya nuclear akiwa chumbani
Camp David ipo Maryland
 
Rais wa marekan Donald Trump kaamisha makazi yake kutoka New York na kwenda kukaa jimbo la Frolida kwa madai ya kubana matumizi ya tozo la makazi akidai NY tozo ni kubwa sana bora ahamie Frolida ambapo tozo la makazi ni dogo. Swali langu je hapo Frolida kuna Ikulu ya kutosha kukaa Rais (kamà taasisi) pamoja na miundombinu ya usalama? Wajuzi wa masuala ya kimataifa tujuze
Kama rais wenu wa Tanganyika aliweza kuhamia sehemu remote kama Dodoma kutoka jijini Mzizima. Itashindikana vipi DT kushindwa kuhama kutoka NY kwenda Frolaida ?
 
Rais wa marekan Donald Trump kaamisha makazi yake kutoka New York na kwenda kukaa jimbo la Frolida kwa madai ya kubana matumizi ya tozo la makazi akidai NY tozo ni kubwa sana bora ahamie Frolida ambapo tozo la makazi ni dogo. Swali langu je hapo Frolida kuna Ikulu ya kutosha kukaa Rais (kamà taasisi) pamoja na miundombinu ya usalama? Wajuzi wa masuala ya kimataifa tujuze
Ngoja Trump aje kujibu sisi tupambane na ikulu yetu ya Dar na makazi ya ndugu jiwe Dodoma!
 
Rais wa marekan Donald Trump kaamisha makazi yake kutoka New York na kwenda kukaa jimbo la Frolida kwa madai ya kubana matumizi ya tozo la makazi akidai NY tozo ni kubwa sana bora ahamie Frolida ambapo tozo la makazi ni dogo. Swali langu je hapo Frolida kuna Ikulu ya kutosha kukaa Rais (kamà taasisi) pamoja na miundombinu ya usalama? Wajuzi wa masuala ya kimataifa tujuze
Jamaa umejitahidi sana kuandika florida lakini umeshindwa dah. Hili tatizo la R na L ni janga la taifa
 
Back
Top Bottom