Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,347
Reaction score
2,754
πŸŒ•πŸ‡ΊπŸ‡Έ β€œTHE MOON IS OURS.”

marke

Donald Trump ameshangaza dunia baada ya kushiriki post yenye ujumbe unaodai kwamba Mwezi ni wa Marekani. πŸ˜³πŸš€

Lakini swali kubwa ni hili: Je, nchi inaweza kweli kumiliki Mwezi? πŸŒ•βš–οΈ Kwa mujibu wa sheria za kimataifa za anga, hakuna taifa linaloruhusiwa kudai Mwezi kama eneo lake la kitaifa.

Hivyo, kauli hii imeibua mjadala mkubwa kuhusu mustakabali wa uchunguzi, rasilimali na nguvu za mataifa angani.

πŸš€πŸŒŒJe ni kweli Marekani inataka kutawala anga la baadaye, au hii ni kauli tu?

#BongoTech255 #TechNews #Future
 

Attachments

  • Mwendokasi _20260908_154513_0000.png
    1.5 MB · Views: 5
Haaayaaa sasa waislamu muanze kulipia
 
Nawahurumia Waislam maana huwa wanapenda kuuangalia ili wajue Idd ni lini sasa unakuwa mali ya great satan rasmiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Marekani hawachelewi kupeleka kitimoto wa majaribio mwezini
 
Trump hana akili. Labda amemaanisha korodani yake ambayo ina umbo kama la mwezi.
 
Wenye uwezo wa kupinga ni wale ambao wanataka waende wakafanye uwekezaji sasa mwenzangu namimi huku sub sahara hata tukikataa au kukubali haitabadilisha jambo zaidi tutasema kua trump analeta kufulu
 
Nawahurumia Waislam maana huwa wanapenda kuuangalia ili wajue Idd ni lini sasa unakuwa mali ya great satan rasmiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Marekani hawachelewi kupeleka kitimoto wa majaribio mwezini
🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…