Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Kwa hali hii Trump hachomoki!
Aje Apate Ushauri Ccm, Anatoboa Rahisi SanaKupindua meza anatakiwa ashinde majimbo yote hapo kitu ambacho hakiwezekani!
Amtafute mahera wa NEC aje na hesabu zake za magazijuto,ushindi wake ni asubuhi tu.Aje Apate Ushauri Ccm, Anatoboa Rahisi Sana
Haa😂😁Amtafute mahera wa NEC aje na hesabu zake za magazijuto,ushindi wake ni asubuhi tu.
Hahahah huku wakimkodi na Mambosasa kua boss wa Police huko New York kwa muda.Haa[emoji23][emoji16]
Hapo Sahihi
Judge Kaijage Akiwa Pembeni
Jamana Printers Wakae Pembeni Wakifyatua Papers
Yaani Trump Angetusua
Tena Akipiga Mkwara Muda WoteHahahah huku wakimkodi na Mambosasa kua boss wa Police huko New York kwa muda.