simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,691
- 9,579
Hapo ndiyo unaona umuhimu wa kuwa na strong institutions instead of strong leaders. Ukiwa na strong leader once anakufa nchi inakosa muelekeo kwa kuwa huyo leader alikuwa anafanya vitu toka kichwani mwake. Lakini kwenye strong institutions leader akifariki watakaofuata wanaendeleza kwa sababu kila kitu kiko documented. Sawa hapa tunaliona Bunge la USA chini ya Nancy Pelosi likifanya due process kwa uhuru bila kutishiwa.Nipo naangalia kupitia Al Jazeera. Hawa jamaa hawakati tamaa mpk leo na Trump? Ila hii ni kuonyesha jinsi wenzetu walivyo hatua mbele katika kushughulikia mambo vyombo vyote (mihimili ,hakuna uliojichimbia) vipo huru hakuna kuingiliana ukimess up kama kiongozi unaweza kushughulikiwa
mkuu itachukua miaka 2000Tanzania itachukua miaka 300 kufikia demokrasia kama hii....Marais wetu ni malaika hawakosei Kwenye tawala zao
Wewee na hicho Kiingereza chako uchwara unakariri kariri tu maneno ya mitandaoni!It's not democracy.
It's a total witch Hunt
Aah wapi, tukiondoa tuu CCM na kuunda katiba mpya iliyo na uwazi zaidi na kutokuwepo na mhimili au mtu aliyejichimbia zaidi basi yote yawezekana.Tanzania itachukua miaka 300 kufikia demokrasia kama hii....Marais wetu ni malaika hawakosei Kwenye tawala zao
Sahihi kabisaAah wapi, tukiondoa tuu CCM na kuunda katiba mpya iliyo na uwazi zaidi na kutokuwepo na mhimili au mtu aliyejichimbia zaidi basi yote yawezekana.
Tunaona South Africa wanavyompelekesha Rais wao akifanya makosa
Marais wetu ni zaidi ya malaika ni miungu tunawasujudia jumatatu hadi ijumaa.Jumapili tunamubudu Mungu.Tanzania itachukua miaka 300 kufikia demokrasia kama hii....Marais wetu ni malaika hawakosei Kwenye tawala zao
Hao wote wameulizwa a very simply qn:In that conversation,Is there a quid pro quo?.Yote yanatizamana tu hakuna mwenye jibu..Total which hunt.Wewee na hicho Kiingereza chako uchwara unakariri kariri tu maneno ya mitandaoni!
Eti witch hunt!!
Unajua hata maana yake?
Ma democrats ni mapumbavu sana,Akiongozwa na Adam Schif..Trump anawaangalia anacheeeka maana Senate haitabariki upuuzi wao
Hao wote wameulizwa a very simply qn:In that conversation,Is there a quid pro quo?.Yote yanatizamana tu hakuna mwenye jibu..Total which hunt.
Nimetizama hiyo hearing yote,nimegundua ma democrats ni mapumbavu sana.How can you accuse the POTUS to a crime with no evidence...??
Hakuna kitu kama hicho,kisheria lazima ujibu na kutoa ushahidi kisheria,yaani unataka kumuondoa Rais wa nchi makarakani kwa kutumia hearsay?? ,What a stupidity.Unajua maana ya kukaa kimya? Sie kisheria ukikaa kimya inamaana jibu lake ni ndio, so kama waliulizwa hilo swali na mashahidi wakakaa kimya basi tafsiri yake wameagree so usijifanye mjuaje subiri maamuzi ya mwisho.
Rais anaondolewamadarakani based on facts and vivid evidence.Sio ule ujinga ujinga wa Hearsay ma liberal wanaleta..Kuna mbunge mmoja democrats juzi anasema kwamba eti Hearsay inaweza kutumika kama fact kisheria...What a stupidity,hata kama sijui sheria,hakuna kitu kama hicho.Unajua maana ya kukaa kimya? Sie kisheria ukikaa kimya inamaana jibu lake ni ndio, so kama waliulizwa hilo swali na mashahidi wakakaa kimya basi tafsiri yake wameagree so usijifanye mjuaje subiri maamuzi ya mwisho.