Bado sana,inawezekana hata mjukuu wako asishuhudie US wakianguka.Siku Petrodollar System ikiwa replaced hapo ndo tutashuhudia mwisho wa marekani,but as long as we keep using Dollar,we are funding them.Mdogomdogo Urusi inachukua ukilanja wa dunia, Trump anakuwa kama mpiga ramli.
International Politics is all about organised hypocrisy.
PS: Its not America that drove ISIS out.....
Bonge la point mkuu, Watu wengi hawalijui hili kwamba Marekani haiwezi anguka bila petro-dollar economy kuanguka, upo sawa kabisa mkuu. Lakini petro-dollar economy itaangukaje? Itaanguka tu pindi endapo marekani itapigana vita tena vita kubwa sana.Bado sana,inawezekana hata mjukuu wako asishuhudie US wakianguka.Siku Petrodollar System ikiwa replaced hapo ndo tutashuhudia mwisho wa marekani,but as long as we keep using Dollar,we are funding them.
Nilishangaa sana eti Rais anajibizana na balozi? Busara na hekima za Putin huenda zikaokoa roho za maelfu ya watu wasio na hatia.
Point!!.Bonge la point mkuu, Watu wengi hawalijui hili kwamba Marekani haiwezi anguka bila petro-dollar economy kuanguka, upo sawa kabisa mkuu. Lakini petro-dollar economy itaangukaje? Itaanguka tu pindi endapo marekani itapigana vita tena vita kubwa sana.
Ni kama "mniombee"Where is our " Thank you America" 😀 😀 😀 matatizo atengeze yeye kisha na shukran apewe kwa matatizo?
Can Arab league under the umbrella of OPEC revive petrodollar exchange system and opt for dinar. ..!??Point!!.
Na hiyo vita kubwa hawawezi anguka peke yao,inawezekana US akaanguka na super power runners wengine wote.So watakuwa wanaanza upya wote.
Wasipigane kwanza ili kwenye forex nifikishe hata $35,000 .maana soko la sarafu litayumba sana wakipiganaNilishangaa sana eti Rais anajibizana na balozi? Busara na hekima za Putin huenda zikaokoa roho za maelfu ya watu wasio na hatia.
Hapa Balozi wa Urusi na Marekani wana-kiss baada ya kutifuana sana kwenye Kikao cha Baraza la Ulinzi na Usalama.
Teh teh teh teh
😀😀😀😀😀😀
Waione: Ndugu Palantir , TUJITEGEMEE , chige , Nalendwa , SirChief
Shukuru ww mkuu kila mtu na imani yake !Badala ya kumshukuru Mungu hamna vita unashangilia sababu kaufyat...hizi nazo ni aina za akili...unazani wana akili za kitoto kama zako? Wanawaza how many barrels of blood could be from the innocence sasa nduguyetu unashangilia kuufayat...Hapana shaka hata Korea ulishangilia wakati Seoul ingekua majivu saivi...acha ushabiki kijana
Wapi amesema hawezi kuishambulia Syria?.Umeelewa hiyo tweet nachomaanisha?..Acha kumjaza maneno.Shukuru ww mkuu kila mtu na imani yake !
Nijambo la furaha kwa muuwaji U.S. na gaidi kuanza kuelemewa!
Vifo vitokanavyo na vita vingi ama vyote husababishwa na Marekani na washirika wake Saudia Arabia na wengine wengi!
WASWAHILI HUSEMA KIFO CHA NYANI MITI YOTE HUTELEZA !!!
Kwenye ligi ya biashara na China marekani maji yamesha onyesha dalili za kuzidi unga !!
Kwenye vita hivyo hivyo Dunia inakwenda kuwa sehemu salama Baada ya marekani kuanza kungooka meno!!
Wewe ni PIMBI sana, mbona iraq ilivamiwa kulikuwa na ushahidi??Yani unandika kiudaku na kiuChocheziii..be professional bro..ukweli ni kwamba hawawezi kuvamia km hakuna ushahidi wa hayo madai..ss hiyo "kwisha habari yake ya nini!!??"
US kwa sasa hana ubavu wa kumvamia RuSSIA anamjua vizuri, anauwezo mkubwa vitaniWapi amesema hawezi kuishambulia Syria?.Umeelewa hiyo tweet nachomaanisha?..Acha kumjaza maneno.