Trump huyu kiboko

Hii habari niliisikia siku nyingi kwenye mitandao na inasemekana imetungwa na Wakenya ama Wanaijeria.Kwenye media kubwa zinazoheshimika duniani haipo
 
Kwa nini watu weusi walishindwa kuwatawala watu weupe? Kwa nini viongozi wa kiafrica wanakimbilua kujitoa ICC? Kwa nini viongozi wa Africa wanabadili katiba ili wabaki madarakani milele? Kwa Africa ni maskini wakati Ina rasilimali za kila aina!? Kwa nini viongozi wa Africa wa ajili mbili pia Mali ili hali raia walio wengi ni maskini?
UKIJIBU Hayo then unaweza kumshambulia Trump
 
Trump atasingiziwa kila uzushi kama Mugabe maana kila baya litasemwa


Mengi yalioandikwa ni propaganda tu.
Mkae hivyo hivyo na Ben Carson kaula
 
Mficha maradhi kilio humfichua
 
YUKO SAHIHI
 
Kuna uongo wa aliyoyasema? Usilete UCCM, just be objective. Ni kuwa kasema ukweli. Kuna rais wa africa ambaye siyo Billionaire> Kuna rais wa africa ambaye siyo mwizi?
 
CCM oyee, Mashetani Oyee,
 
Inawezekana ujumbe una tija ila kwa hakika sio maneno ya Trump. Kwanza Trump toka amalize uchaguzi hajaenda state yeyote zaidi ya NY anapoishi sasa, pili Trump hana muda na mambo ya Africa yeye is all about making America great again.
 
Hayo ni uzushi wa wapinzani wake hasa Democrats (Washington Politicians). Hiyo concocted speech imekuwa mtandaoni tangu mwanzo kabisa wa kampeni!!!!!
 
Inawezekana ujumbe una tija ila kwa hakika sio maneno ya Trump. Kwanza Trump toka aapishwe hajaenda state yeyote zaidi ya NY anapoishi sasa, pili Trump hana muda na mambo ya Africa yeye is all about making America great again.
Hajaapishwa anaapishwa 20/01/2017 acha kukurupuka
 
Sina tatizo naye ila hata wamarekani nao hii mahakama ya ICC mbona hawataki kujiunga nayo??!!
 
Namkubali sana sasa Trump... nilikuwa simuelewi, but huyu Trump ni kiongozi haswa

A no nonsense man.. hakika..!!
 
Mficha maradhi kilio humfichua
Sijui kama umesoma vizuri. Kuna sehemu nimesema tunaficha maradhi? Kwenye post niliandika instead yakujitangaza kama wewe nimjinga, fanya juhudi usiwe mjinga.

Kama mtu kaniita masikini, siwezi kutoka nikajitangaza mimi ni masikini, instead nitakaa kimya niwaze jinsi ya kutoka kwenye umasikini. Najua watu wanaona mimi masiki, sitaki kuweka mawazo kuwa sitokuwa tajiri. Watanzania wenzangu, mnashabikia maneno ya Trump, hata kama ni kweli, kwanini tuyarudie?? Let's work on ourselves atuone masters instead of slaves

Ey, huu ni mtazamo wangu tu.

-callmeGhost
 
mkuu, Trump alishasema siku nyingi kuwa waafrika tunatakiwa tutawaliwe tena na wazungu maana tunachokiweza ni kufanya ngono na kucheza ngoma tu. alichokisema sasa ni kama marudio tu.
huyo ndiye Trump.
Trump hajawahi kusema hayo maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…