Ameshusha nauli ya mabasi. Unazunguka London kwa £1.50 kwa lisaa limoja.
wamarekani wanaangalia uwezo, siyo wapi unatoka ukabila utaua wabongo cjui kakobe onyesha kabuli la babu yako watu wamesha pita hayo yote. Karia,Ulimwengu,Iyakuze...Na Trump mhamihaji toka Scotland na mke wake akiwa Mslovenia. Halafu wanajiita Wamerekani
Hakuna kitu anachokipenda Trump kama brexit na ndio maana ameenda UK wakati muafaka kabisa kwa kua may anaondoka madarakani na chaguo la Trump ni boris akijua kabisa Boris anataka brexit... Trump anawachana mule mule kwenye ardhi yao! Jamaa hakopeshi.
Alikuwa........... na ni mhamiaji kutoka Pakistan.
Trump ni mhamiaji au babu yake ndo alikuwa mhamiaji?...Na Trump mhamihaji toka Scotland na mke wake akiwa Mslovenia. Halafu wanajiita Wamerekani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]... na ni mhamiaji kutoka Pakistan.
Khan ni mhamihaji au babu yake?Trump ni mhamiaji au babu yake ndo alikuwa mhamiaji?...
Wazazi wake Trump ndiyo wahamiajiNa Trump mhamihaji toka Scotland na mke wake akiwa Mslovenia. Halafu wanajiita Wamerekani
hahahaha kumbe :jiwe hanaga madhara kwenye uongozi wakeee? asante skyNinadhani amemaanisha yupo kwenye position yake kama jiwe hana effect katika kupambana na crime in London.
Duh! ulimwenguni humu.Asipotetea mashoga watamtoa madarakani
Huyu mtu unaweza hata ogopa mwalika kwako maana anachotaka kukisema anakijua yy na nafsi yake, hatari sana .![]()
Donald Trump calls Mayor of London Sadiq Khan a 'stone cold loser'
A spokesman for Sadiq Khan said the "childish insults should be beneath the US President".www.bbc.co.uk
View attachment 1117192
Mhh.. Kwahiyo mkuu haya yote unayosema M16 hawayajui ili kumdhibiti huyu TrumpHakuna kitu anachokipenda Trump kama brexit na ndio maana ameenda UK wakati muafaka kabisa kwa kua may anaondoka madarakani na chaguo la Trump ni boris akijua kabisa Boris anataka brexit
Kwa kifupi ikitokea brexit UK itakua ipo weak sana kwenye negotiations hasa za kibiashara na ndicho uongozi wa marekani unachotaka kukiona
Trump anataka umoja wa ulaya uliodhaifu au hata isambaratike yote ili aweze kuiminya nchi moja moja maana kwa sasa kwa EU yote inakua ngumu na hapa wazungu wa UK wanazungukwa bila kujijua na ndio maana ameenda kukutana na boris Johnson pamoja na yule kiongozi wa brexit party farage na kaanza kuwaharibu wakina khan kisaikojolia toka akiwa kwenye ndege
Pata picha may angeenda marekani halafu akifika pale aanze kuponda viongozi wa marekani na kuanza kumsifia labda kiongozi wa upinzani hapa ungesikia wamefanyiwa meddling au ndio angefanya Putin hapo ungesisikia vikwazo vinaanza
Boris sidhani kama atapewa hiyo kazi maana wameisha anza kumuundia zengweHakuna kitu anachokipenda Trump kama brexit na ndio maana ameenda UK wakati muafaka kabisa kwa kua may anaondoka madarakani na chaguo la Trump ni boris akijua kabisa Boris anataka brexit
Kwa kifupi ikitokea brexit UK itakua ipo weak sana kwenye negotiations hasa za kibiashara na ndicho uongozi wa marekani unachotaka kukiona
Trump anataka umoja wa ulaya uliodhaifu au hata isambaratike yote ili aweze kuiminya nchi moja moja maana kwa sasa kwa EU yote inakua ngumu na hapa wazungu wa UK wanazungukwa bila kujijua na ndio maana ameenda kukutana na boris Johnson pamoja na yule kiongozi wa brexit party farage na kaanza kuwaharibu wakina khan kisaikojolia toka akiwa kwenye ndege
Pata picha may angeenda marekani halafu akifika pale aanze kuponda viongozi wa marekani na kuanza kumsifia labda kiongozi wa upinzani hapa ungesikia wamefanyiwa meddling au ndio angefanya Putin hapo ungesisikia vikwazo vinaanza
Tatizo la waafrika ni roho ya korosho na ubaguzi mpaka serikaliniAlikuwa........
Kwa hiyo anaweza kuchukua?Ndiyo anaongoza kwenye makisio