Trump asema kuna 'matarajio' ya kukutana na Putin na Zelensky.

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa "kuna fursa" ya kukutana na viongozi wa Urusi na Ukraine, kufuatia kile alichokitaja kuwa "mazungumzo yenye tija" kati ya mjumbe wake na Vladimir Putin.
Alipoulizwa katika Ikulu ya White House ikiwa viongozi hao wawili wamekubaliana kuwa na mkutano kama huo, Trump alisema kuna "matarajio makubwa", lakini hakutoa maelezo zaidi

Ukraine hapo awali ilitoa taarifa isiyo ya moja kwa moja kuhusu mazungumzo kati ya Putin na Steve Witkoff, huku msaidizi wa sera za kigeni akisema pande hizo mbili zimekuwa na mazungumzo "yenye tija" mjini Moscow.
Mjumbe wa Marekani amekutana na Putin siku chache kabla ya tarehe ya mwisho ya Trump kwa Urusi kukubali kusitisha mapigano nchini Ukraine, la sivyo ikakabiliwe na vikwazo vipya

=====

US President Donald Trump and Russian President Vladimir Putin have agreed to meet in the "coming days", a Kremlin aide has said

It follows Trump saying there was a "good chance" he could meet the Russian and Ukrainian leaders in person "very soon" to discuss ending the war in Ukraine

When asked at a White House briefing on Wednesday night whether Ukrainian President Volodymyr Zelensky and Putin had agreed to a three-way summit, Trump said there was a "very good prospect", but did not elaborate

A deadline Trump has set for Russia to agree a ceasefire in Ukraine or face more sweeping sanctions is due to expire on Friday

Trump's comments on Wednesday came after talks in Moscow between his envoy Steve Witkoff and Russian President Vladimir Putin, which the US president described as "highly productive".
The Kremlin released a vague statement on Wednesday about Witkoff's visit to Moscow, calling the discussions "constructive" and noting that both sides had exchanged "signals."
Witkoff has travelled to the Russian capital four times this year. After each trip, Trump expressed optimism that a ceasefire was near

Yet last month, he admitted to the BBC that on all four occasions, Putin had disappointed him.
But the US President is now striking a more cautious tone, telling reporters on Wednesday: "I don't call it a breakthrough...we have been working at this for a long time. There are thousands of young people dying... I'm here to get the thing over with."

The New York Times had earlier reported that Trump had hoped to meet Putin in person as soon as next week, with a potential three-way meeting with Zelensky to follow.
Zelensky meanwhile said he had spoken to Trump about Witkoff's visit, with European leaders also on the call.
Zelensky has been warning that Russia would only make serious moves towards peace if it began to run out of money

On Thursday the Ukrainian leader indicated his support for a meeting between the three leaders

Source: BBC & SKY NEWS
 
Mbona taarifa hizi zina utata kidogo!!
Mara Trump atakutana na Putin meza moja wafanye mazungumzo kwanza kabla hajaitwa Zelensky kushiriki, mara Trump, Putin na Zelensky watakaa meza moja toka mwanzo wa mkutano mpaka mwisho, sasa tuamini lipi tuache lipi?? Wakifanya makosa ya kumleta Zelensky tangu mwanzo wa mkutano mpaka mwisho ataleta vurugu/fujo ili mkutano/usuruhishi husifanikiwe , huo ndio ushauri Zelensky anao pewa na wapambe wake wa EU na Uingereza.

Kinacho nifurahisha mimi ni kule kutowaruhusu/karibisha Viongozi wa: Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kushiriki kwenye majadiriano/usuruhishi, Viongozi hao ni wanafiki sana ndio wanao mchochea Zelensky vita hii hisi sitishwe ili viwanda vya kuunda silaha vipige hela ndefu, kwao hata WW3 ikitokea kwa bahati mbaya au kwa kudhamilia hawaoni taabu ie wanaona ni sawa tu!!
 
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa "kuna fursa" ya kukutana na viongozi wa Urusi na Ukraine, kufuatia kile alichokitaja kuwa "mazungumzo yenye tija" kati ya mjumbe wake na Vladimir Putin.
Alipoulizwa katika Ikulu ya White House ikiwa viongozi hao wawili wamekubaliana kuwa na mkutano kama huo, Trump alisema kuna "matarajio makubwa", lakini hakutoa maelezo zaidi

Ukraine hapo awali ilitoa taarifa isiyo ya moja kwa moja kuhusu mazungumzo kati ya Putin na Steve Witkoff, huku msaidizi wa sera za kigeni akisema pande hizo mbili zimekuwa na mazungumzo "yenye tija" mjini Moscow.
Mjumbe wa Marekani amekutana na Putin siku chache kabla ya tarehe ya mwisho ya Trump kwa Urusi kukubali kusitisha mapigano nchini Ukraine, la sivyo ikakabiliwe na vikwazo vipya

=====

US President Donald Trump and Russian President Vladimir Putin have agreed to meet in the "coming days", a Kremlin aide has said

It follows Trump saying there was a "good chance" he could meet the Russian and Ukrainian leaders in person "very soon" to discuss ending the war in Ukraine

When asked at a White House briefing on Wednesday night whether Ukrainian President Volodymyr Zelensky and Putin had agreed to a three-way summit, Trump said there was a "very good prospect", but did not elaborate

A deadline Trump has set for Russia to agree a ceasefire in Ukraine or face more sweeping sanctions is due to expire on Friday

Trump's comments on Wednesday came after talks in Moscow between his envoy Steve Witkoff and Russian President Vladimir Putin, which the US president described as "highly productive".
The Kremlin released a vague statement on Wednesday about Witkoff's visit to Moscow, calling the discussions "constructive" and noting that both sides had exchanged "signals."
Witkoff has travelled to the Russian capital four times this year. After each trip, Trump expressed optimism that a ceasefire was near

Yet last month, he admitted to the BBC that on all four occasions, Putin had disappointed him.
But the US President is now striking a more cautious tone, telling reporters on Wednesday: "I don't call it a breakthrough...we have been working at this for a long time. There are thousands of young people dying... I'm here to get the thing over with."

The New York Times had earlier reported that Trump had hoped to meet Putin in person as soon as next week, with a potential three-way meeting with Zelensky to follow.
Zelensky meanwhile said he had spoken to Trump about Witkoff's visit, with European leaders also on the call.
Zelensky has been warning that Russia would only make serious moves towards peace if it began to run out of money

On Thursday the Ukrainian leader indicated his support for a meeting between the three leaders

Source: BBC & SKY NEWS
Mbona anayehangaika ni trump
 
Back
Top Bottom