Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 #1 Trump Anatengeneza mgogoro wa kikatiba wafuasi wake wamevamia bunge muda huu.
Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 Thread starter #2 Trump amemtaka makamu wa rais mike pence kutocertify ushindi wa Joe Biden. Pia amewataka wafuasi wake kuvamia bunge na wamefanya hivyo sasahivi. Waandamanaji wamevuka utepe wa polisi kuingia jengo la capital Hill.
Trump amemtaka makamu wa rais mike pence kutocertify ushindi wa Joe Biden. Pia amewataka wafuasi wake kuvamia bunge na wamefanya hivyo sasahivi. Waandamanaji wamevuka utepe wa polisi kuingia jengo la capital Hill.
Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 Thread starter #3 Wafanyakazi wote wa bunge la kongress capital Hill na waandishi wa habari wameamriwa kukaa mahali salama.
Wafanyakazi wote wa bunge la kongress capital Hill na waandishi wa habari wameamriwa kukaa mahali salama.
Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 Thread starter #5 Polisi wamezunguka jengo kutoa ulinzi kwa maofisa wa bunge.
Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 Thread starter #6 Daudi Mchambuzi said: Mkuu uko eneo la tukio? Click to expand... Hapana mkuu fungua BBC au aljahezeera
Daudi Mchambuzi said: Mkuu uko eneo la tukio? Click to expand... Hapana mkuu fungua BBC au aljahezeera
Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 Thread starter #7 Trump ni muhuni aisee nimeamini
Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 Thread starter #8 Aisee waandamanaji wameingia ndani ya capitol Hill na bendera ila pako salama.
Phoenix JF-Expert Member Sep 6, 2012 10,587 15,450 Jan 6, 2021 #9 Tunaomba mtukufu raisi aingilie mgogoro huu,Trump afunguliwe mashtaka.
Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 Thread starter #10 Jeshi la usa limeitwa baada ya polisi kuzidiwa nguvu wajeda washatinga kuokoa jahazi wako full
Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 Thread starter #11 Ila vyombo vya usalama vya wenzetu vinalimda raia kweli ingekuwa kwetu watu washauwawa maana jamaa wametinga ndani kabisa ya korido za bunge.
Ila vyombo vya usalama vya wenzetu vinalimda raia kweli ingekuwa kwetu watu washauwawa maana jamaa wametinga ndani kabisa ya korido za bunge.
Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 Thread starter #12 FBI nao washatinga na bomb squads zishafika Kama kutatokea threats za mabomu pia wabunge wameambiwa waweke gas masks chini ya viti vyao incase ikilazimika kutumia nguvu hiyo.
FBI nao washatinga na bomb squads zishafika Kama kutatokea threats za mabomu pia wabunge wameambiwa waweke gas masks chini ya viti vyao incase ikilazimika kutumia nguvu hiyo.
N NIMEONA JF-Expert Member Aug 4, 2019 3,865 5,684 Jan 6, 2021 #13 naona hapa na waheshimiwa wameshaambiwa wavae masks za kuzuia gesi. swali langu kwa wajuzi, kinachofuata ni nini?!!! atazuiwa huyu biden kuwa certified?
naona hapa na waheshimiwa wameshaambiwa wavae masks za kuzuia gesi. swali langu kwa wajuzi, kinachofuata ni nini?!!! atazuiwa huyu biden kuwa certified?
ze-dudu JF-Expert Member Jul 26, 2014 17,281 22,014 Jan 6, 2021 #14 Taisho fuyaki said: Ila vyombo vya usalama vya wenzetu vinalimda raia kweli ingekuwa kwetu watu washauwawa maana jamaa wametinga ndani kabisa ya korido za bunge. Click to expand... Huu ustaarabu huku bara giza hautatokea kamwe
Taisho fuyaki said: Ila vyombo vya usalama vya wenzetu vinalimda raia kweli ingekuwa kwetu watu washauwawa maana jamaa wametinga ndani kabisa ya korido za bunge. Click to expand... Huu ustaarabu huku bara giza hautatokea kamwe
Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 Thread starter #15 JB atatangazwa tu na kura za Arizona zitahesabiwa na zitaamua.
N NIMEONA JF-Expert Member Aug 4, 2019 3,865 5,684 Jan 6, 2021 #17 tendo hili lina faida yoyote kwa trump?
Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 Thread starter #18 Makamu wa rais mike pence amepelekwa eneo salama Hali nitete
Superbug JF-Expert Member Jan 31, 2018 12,417 30,929 Jan 6, 2021 Thread starter #20 NIMEONA said: tendo hili lina faida yoyote kwa trump? Click to expand... Halina na litamharibia anaitia doa Katiba ya marekani.
NIMEONA said: tendo hili lina faida yoyote kwa trump? Click to expand... Halina na litamharibia anaitia doa Katiba ya marekani.