Hivi idadi ya Maneno katika UZI ni maneno mangapi?Kwa hiyo hapo ndo uzi tayari?
eti wizara ya ulinzi ameibadili jina na kuiita wizara ya vita! advocating violence upfront
Wewe ni mbinafsi sana.Binafsi natama aweke mguu Tanzania ili tuanze upya.
advocating violences kwa mkutadha upi?eti wizara ya ulinzi ameibadili jina na kuiita wizara ya vita! advocating violence upfront
Past misdeeds should not extend to the modern world!advocating violences kwa mkutadha upi?
Mbona Marekani siku zote advocating violences kuanzia Vitinamu, Korea, panama, Iraq, cuba, Kosovo, Pakistani, Iran, Bolivia n.k
Tangu miaka ya 1950s mpaka leo Marekani ime-advocates Makumi ya vita kila pembe ya Dunia!
TAFAKARI!!!
Nchi ina Mafisadi wengiWewe ni mbinafsi sana.
Hadi huko Marekani kuna mafisadi kibao. Pia hujui kama Marekani ana fisadi mataifa mengine?Nchi ina Mafisadi wengi
Kwani Wizara ya Ulinzi ina kazi gani?eti wizara ya ulinzi ameibadili jina na kuiita wizara ya vita! advocating violence upfront