Trump anachanja mbuga mbele ya Hillary

Trump akishinda , muanze kuwaandalia ndugu zenu walioenda Usa mahali kwa kufikia watakaporudi huku maana deadline ya kukaa usa ni siku ya pili ya Trump ndani ya jumba jeupe.
 
Trump hawezi shinda.. milele, akishinda nataka my two big balls hanging between my legs..!!
 
tuwe tunabakiza maneno!!! quoted!!!

I don't reserve or spare anything kuhusu Trump.. hawezi shinda.. kamwe, akishinda njoo niulize zile kende ziko wapi..
 


Sawa, kura zinaendelea kupigwa...wabongo kwa ujinga hamwezekani!
 
Kuna jamaa limoja litaalamu kutoka Visiwani kule kwenu nadhani limeshafika kule, kufuta uchaguzi kama Trump akishinda![emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 



Jechaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...

Ushindi ni 99.9999...9999%


 
Trump akishinda , muanze kuwaandalia ndugu zenu walioenda Usa mahali kwa kufikia watakaporudi huku maana deadline ya kukaa usa ni siku ya pili ya Trump ndani ya jumba jeupe.
Wanaoshabikia trump hawana ndugu huko wala hawajui siasa na uchumi wa marekani! Wanashabikia tu!!!
 
Wengi mnamshabikia Trump bila kujua mnachofanya. Trump akiingia madarakani dunia haitakuwa salama.
 
Trump akishinda mm nashinda laki Saba akishindwa mzungu atafaidi laki mbili zangu
 
Kama walimshabikia lowasa walio sema ni fisadi kwa miaka 7 Leo unashangaa hao hao kumshabikia trump
 
Ahsante, ila ana nini cha mno hadi apendwe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…