Trump amkaba koo Biden kwenye 'polls'

Trump amkaba koo Biden kwenye 'polls'

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,151
Reaction score
20,065
Hali inazidi kua mbaya kwa Biden na wapambe wake ambao walitegemea Corona kumshinda Donald Trump.

Toka mwezi July visa vipya vya Corona nchini Marekani vimekua vikipungua hivyo kumuongezea Credit bwana Donald J. Trump.

Ramli ama maarufu kama polls zilikua zikishuka kwa kasi dhidi ya Trump baada ya corona nchini Marekani hivyo kumpa nafasi ya ushindi bwana Biden.

Tukumbuke kua hizo ramli pia zilimpa ushindi mkubwa Bi Clinton mwaka 2016 lakini Donald Trump akashinda kwa kishindo na kuthibitisha kua ramli hazina maana yoyote. Ndio maana hata wapiga ramli hua hawawezi kujitabiria kifo.

Sasa kwenye polls ama ramli za fake news zote kina ccn, msnbc na nyinginezo wameanza kukiri kua Trump anaanza kuziba pengo la polls kuanzia mwezi huu wa August.

Biden na wenzake wamekua wakitegemea wasoma nyota na wapiga ramli kwenye uchaguzi sasa hali inaanza kua tofauti.

====

President Donald Trump appears to have gotten a bump in the polls in the immediate aftermath of the Republican National Convention, inching closer toward Democratic presidential nominee Joe Biden.

A new poll conducted Friday by Morning Consult asked 4,035 likely voters which candidate they would pick in the Nov. 3 election. Trump received 44% of the votes compared to 50% for Biden, cutting the former vice president’s lead to six points.

One day before the convention started on Aug. 24, Biden had a 10-point lead, according to Morning Consult, with 52% of likely voters on his side. That poll included 4,810 people and had a one-point margin of error.

Friday’s poll had a two-point margin of error.

Biden didn’t see a similar bump in the polls after the previous week’s Democratic National Convention.

The gains Trump made are largely from suburban and white voters, Morning Consult reports. Biden had a 54% to 40% lead over the incumbent among likely suburban voters before the RNC, and his lead was cut to eight points. Trump leads Biden 51% to 43% when it comes to likely white voters compared to the two-point edge he had a week ago.

Amid racial unrest and protests in cities across the country, Trump has portrayed himself as the candidate of “law and order,” indicating that violence will only get worse if Biden is elected to office. While his message might be working on some suburban voters, Trump appears to have more work to do in order to stay in the White House for another four years.

“He’s obtuse, and he doesn’t get it,” said Lee Davis, who watched parts of the convention from Wisconsin, a key swing state, via The Associated Press. “But I don’t think he’s a racist. I just think he’s incapable of moving comfortably to talking about race. It’s one of the many things he handles poorly because he’s a nihilist.”

After the convention, Trump trails Biden by 28 points among likely Hispanic voters and 74 points among likely Black voters, despite Trump’s claims of doing more for Black people than any president since Abraham Lincoln.

“I have done more in three years for the black community than Joe Biden has done in 47 years,” Trump said in Thursday’s speech on the White House lawn. “And when I'm re-elected, the best is yet to come.”

With coronavirus cases in the United States dropping from their peak in July, Trump is polling better in swing states. Biden still has the lead in those key states.

People who bet on the presidential election seemed to think Trump improved his chances of winning in November. A sizable underdog a few weeks ago, Trump nearly had the same odds to win the election as Biden just a few hours after the RNC ended.

Trump received a similar bump after the convention in 2016. The Republican candidate took a four-point lead over Hillary Clinton following the RNC four years ago. Clinton entered the convention with a two-point lead.

Only 7% of likely voters are currently undecided or said they would vote for a third-party candidate, compared to 16% of voters after the 2016 convention.

Donald Trump Closing Gap On Joe Biden In Polls After RNC
 
Hali inazidi kua mbaya kwa Biden na wapambe wake ambao walitegemea corona kumshinda Donald Trump.

Toka mwezi July visa vipya vya corona nchini Marekani vimekua vikipungua hivyo kumuongezea Credit bwana Donald J. Trump.

Ramli ama maarufu kama polls zilikua zikishuka kwa kasi dhidi ya Trump baada ya corona nchini Marekani hivyo kumpa nafasi ya ushindi bwana Biden.

Tukumbuke kua hizo ramli pia zilimpa ushindi mkubwa Bi Clinton mwaka 2016 lakini Donald Trump akashinda kwa kishindo na kuthibitisha kua ramli hazina maana yoyote. Ndio maana hata wapiga ramli hua hawawezi kujitabiria kifo.

Sasa kwenye polls ama ramli za fake news zote kina ccn, msnbc na nyinginezo wameanza kukiri kua Trump anaanza kuziba pengo la polls kuanzia mwezi huu wa August.

Biden na wenzake wamekua wakitegemea wasoma nyota na wapiga ramli kwenye uchaguzi sasa hali inaanza kua tofauti.

Donald Trump Closing Gap On Joe Biden In Polls After RNC
Usiwe na wasiwasi; ni polls za Trafagar tu tena zilizotoka baada ya RNC Convention. Polls znuri ni zile zitakazoanza baada ya labor daya, wakati watu wanaaza kutega sikio. Na kumbuka Trump amekuwa kwenye kampeini siku zote wakati Biden alikuwa karantini. Ngoja sasa kampeini zianze rasmi baada ya labor day.
 
Bidem hata chama chake hawataki afanye debate na trump, wanaogopa hali itakuwa mbaya zaidi ...Nnacy pelosi hataki kabisa...
Trump atamgeuza biden kuwa punching bag
 
Kama fake news wakubwa kina Cnn wanakiri kua hali inaanza kua mbaya unategemea kuna ramli nyingine itabadilisha ukweli?
CNN Poll: Biden and Trump matchup tightens as enthusiasm hits new high

Hizo ramli zilikuwepo mwaka 2016 na zilimpa Clinton point difference kubwa lakini bado Trump akashinda.
Fahamu sio CNN pekee yake wanatoa polls, nimekuonyesha average poll za media tofauti tofauti hutaki kuziamini, ni Bora ungebadilisha heading ungesema CNN polls zimesema Trump anaongoza
 
Toka lini wakajitabiria kifo? Shehe majini angejitabiria ushindi kura za maoni za ccm, alipata kura 5 kati ya 500+
Shekhe majini yule ni tapeli tu ..hana elimu yoyote ile ya unajimu .. Ila wenye elimu zao haswaa hiyo ni kazi ndogo tu
 
Hali inazidi kua mbaya kwa Biden na wapambe wake ambao walitegemea corona kumshinda Donald Trump.

Toka mwezi July visa vipya vya corona nchini Marekani vimekua vikipungua hivyo kumuongezea Credit bwana Donald J. Trump.

Ramli ama maarufu kama polls zilikua zikishuka kwa kasi dhidi ya Trump baada ya corona nchini Marekani hivyo kumpa nafasi ya ushindi bwana Biden.

Tukumbuke kua hizo ramli pia zilimpa ushindi mkubwa Bi Clinton mwaka 2016 lakini Donald Trump akashinda kwa kishindo na kuthibitisha kua ramli hazina maana yoyote. Ndio maana hata wapiga ramli hua hawawezi kujitabiria kifo.

Sasa kwenye polls ama ramli za fake news zote kina ccn, msnbc na nyinginezo wameanza kukiri kua Trump anaanza kuziba pengo la polls kuanzia mwezi huu wa August.

Biden na wenzake wamekua wakitegemea wasoma nyota na wapiga ramli kwenye uchaguzi sasa hali inaanza kua tofauti.

Donald Trump Closing Gap On Joe Biden In Polls After RNC
Aisse why usiwe mchamvuzi wa kawaida tu kwenye hizi siasa za nje.

Maana naona umeandika kwa chuku kali utafikiri CCM wanampond Lissu au Team Diamond wanamshukia Harmonize
 
Any sober mind person with common sense,hawezi support huu uchafu unaoendelea wa kuchoma miji kilsa unadai so called haki.
Kinachowafelisha democrats ni unafiki.Chama kinashindwa kutofautisha Protest na Riots wapewe nchi wapieleke wapi?,Ikawe majivu?.Silent majority will vote them out in Nov hawataamini.
Naona wameshaanza kukimbia mdahalo na Trump..
 
Back
Top Bottom