At the End of of his term! Atakumbukwa kwa kuindoa US Dollars km Leading trade currency maana ameanzisha vita ya kibiashara na mataifa mengi hii inapelekea Mataifa ayo kuondoa matumiz ya Dola ktk biashara za kimataifa mfano Venezuela,Iran zimeyumba sana kwasabab ya kutumia dola ktk mafuta yao sasa wanatumia fedha Mbadala, Turkey nae ameanza kuachana na US Dollars baada ya vikwazo,Russia na Soon China nchi No mbili kwa Uchumi Duniani....Marekan anaweza jiona mjanja kwa muda tu kwa kuyumbisha uchumi wa Nchi fulan kisa Dola ila kwa baadae atashusha value ya Dolla ikumbukwe apo nyuma Irak na Libya walipotaka kuacha kuuza mafuta yao kwa Dolla yan #petrodollars nchi hizo zilivamiwa sasa saivi kajikuta kajiingiza ktk vita hii na nchi nyingi na zenye uwezo mkubwa kiuchumi Iran,Venezuela na Russia zote zinamafuta na Iran na Russia zina Gas pia so tutegemee US kuporomoka