Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,297
- 10,981
Hivi Trump ni wa kuikosoa Israel waziwazi bila kupepesa macho!?
Trump ni mtu wa kufanya makubaliano ya amani na Iran bila kuihusisha Israel?
Kwanini Trump amebadilika hivi?
Eti jamani!???
Hivi Trump leo hii amekuwa mtu wa kutamka hadharani kwamba bila yeye Israel ingekuwa imefutwa kwenye uso wa dunia na Iran!?
View: https://x.com/TreyYingst/status/2066834485824352457
View attachment 3609084
Hizo files zimemshikia chiniAmegundua mwisho wake hauko mbali baada ya kukosana na Netanyahu. Sasa hivi anaundiwa zengwe la kumuondoa. Epstein's files muda si mrefu itarudi mezani.
Nimemuona jana akiongea na waandishi wa habari huku akiwa na Macron, kajikunyata kawa mdogo anaongea kwa uoga. Nafikiri ameenda kuwaomba msamaha viongozi G7 kwa kuwaingiza kwenye vita vya Israel na kusababisha muanguko wa uchumi.Mossad na MI6 wana clips zake akiwa kwenye kisiwa cha Epstein, wanasubiri wamalizane na Hezbollah halafu wamripue. Maskini hakujua kua Epstein mwenyewe alikua Mossad's agent. Ataangukia pua huyu Trump.Hizo files zimemshikia chini
😁😁😁 Imekuwaje Tena watoto wa promising land wanaitwa terrorist TenaTrump anasema kuwawinda magaidi haikupi haki ya haki ya kulipua jengo zima na kuua raia wasiokuwa na hatia!!!
Dunia inaenda kasi sana, sikuwahi tarajia kuwa kuna siku raisi wa USA atawaita Israel magaidi.
😁😁😁 Aache uongo hako kanchi siwamepewa 1947
Basi hapo sasa ndipo umeanza kumfahamu vizuri Donald Trump.Hatabiriki na ndivyo alivyo na anajua kucheza the game of world politics!Hivi Trump ni wa kuikosoa Israel waziwazi bila kupepesa macho!?
Trump ni mtu wa kufanya makubaliano ya amani na Iran bila kuihusisha Israel?
Kwanini Trump amebadilika hivi?
Eti jamani!???
Hivi Trump leo hii amekuwa mtu wa kutamka hadharani kwamba bila yeye Israel ingekuwa imefutwa kwenye uso wa dunia na Iran!?
View: https://x.com/TreyYingst/status/2066834485824352457
View attachment 3609084
Umemuamini Mia kwa Mia?Hivi Trump ni wa kuikosoa Israel waziwazi bila kupepesa macho!?
Trump ni mtu wa kufanya makubaliano ya amani na Iran bila kuihusisha Israel?
Kwanini Trump amebadilika hivi?
Eti jamani!???
Hivi Trump leo hii amekuwa mtu wa kutamka hadharani kwamba bila yeye Israel ingekuwa imefutwa kwenye uso wa dunia na Iran!?
View: https://x.com/TreyYingst/status/2066834485824352457
View attachment 3609084
Kamdomo na kuwachezea "polisi" wanaoongozwa na katiba kwa kuwarushia mawe.Israhell wanywa damu ni majangili hivi tujiulize kosa la Palestina ni nn?? je Palestina kweli haitajitawala vizazi na vizazi?? inakua ngumu kuelewa kabisa...