eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Huyo mwanzoni kushoto ni mke wa papa?Leo trump alikutana na Papa fransis nchini vaticani huku ombi kubwa la Papa fransis kwa donald trump likiwa ni kuizungumzia zaidi amani na kuitafuta zaidi amani kuliko vita
Huku rais donald trump akimwahidi kulifanyia kazi ombi lake kuanzia leo na kuendelea
No nadhani Ivanka,next time kuwa na subra na busaraHuyo mwanzoni kushoto ni mke wa papa?
mimi hiyo michoro inanishagaza huyo ambaye kachorwa yupo kifua wazi ndio nani?
Itakuwa Yesu alivyo kuwa kijanamimi hiyo michoro inanishagaza huyo ambaye kachorwa yupo kifua wazi ndio nani?
Busara kwa hao mafirauni!?No nadhani Ivanka,next time kuwa na subra na busara
Hahahah hatimye Jesuits wamefanikiwa kusimika wakala.Muunganiko kati ya serikali na kanisa waanza rasmi sasa.
Tulia wewemimi hiyo michoro inanishagaza huyo ambaye kachorwa yupo kifua wazi ndio nani?
Ulikuwa wapi huo mjadalaMoja ya mjadala mkali Leo ilikuwa mbona hawa walipofika Vatican walifunika nywele zao lakini walipokuwa Saudi hawakujifunika.
Chuki yote hii ya Nini, matatizo yako uvivu wako, ya Nini kutukana dini ya mwenzako...
Mtoto wa trump ambae pia ni mshauri wake ivanca trumpHuyo mwanzoni kushoto ni mke wa papa?
Kanisa Katoliki huwa hawaoi si Papa sio askofu sio padreHuyo mwanzoni kushoto ni mke wa papa?