View attachment 324518
Acha wamchague tu huyu kichaa wao ili aje awakumbushe akina Museveni nini maana ya uchaguzi
ila CNN ni right wing ni republicans damuAwe tu rais hamna namna tu hili dunia inyooshwe.
South Caroline = South Carolina (SC)Mpambani wa awali kupata wagombea kiti cha uraisi marekani kupitia chama cha Republican unazidi kupamba moto baada ya mgombezi maarufu "Donald Trump" kushinda kura za South Caroline na huku mpinzani mmoja Jeb Bush (kaka yake na baba yake waliwahi kuwa maraisi pia) akijitoa baada ya kufanya vibaya
Kwa upande wa Democratic mama Hilary Clinton naye ameshinda jimbo la Nevada katika chaguzi zilizofanyika jana
View attachment 324518
Acha wamchague tu huyu kichaa wao ili aje awakumbushe akina Museveni nini maana ya uchaguzi
Aje tu kunamijibu imekuwa sugu Africa waongo wa kubwa na mwezi wa kubwa kura yangu nitakwenda marekani kumpigia kuraAwe tu rais hamna namna tu hili dunia inyooshwe.
Huyu ndiye rais wa kuwanyosha viongozi walafi wa Africa