Trump aipiga mkwara mzito Iran

Trump aipiga mkwara mzito Iran

Mkwara kama huo alisha mpigaga kiduku iwapo angerusha makombora juu ya anga ya japan
kiduku kwa jeuri aliyo nayo akalipitisha hatukuona lolote.
 
Kiduku ana Mafuta??
 
Dah mm nawa hurumia raia wa mataifa yenye vituo vya kijeshi vya marekani maana Iran itayaharibu vibaya sana.
Mimi ngoja nisubiri vita itokee tuanze kupokea wakimbizi kutoka saudia, Dubai, Qtar, Kuwait ili nijichagulie toto la kiarabu nivutie ndani.
hahah!!
 
Trump ni kama jibwa flan ambalo linabweka kupima upepo.....
Kitakachotokea wakiingia kwenye vita na Iran itakua zaidi ya walichokipata VIETNAM, mark my fu**ng words.
Hivi kati ya Trump na wewe nani kabweka!
 
Mtu kama wewe ni wakusikitikiwa na kuonewa huruma tu,unakurupuka kuchangia bila hata kujua unachangia kitu gani! Nani kakuambia kua Iran ni waarabu?

Taifa lao ni la kiajemi. Lkn nashindwa kutofautisha waajemi na waarabu, sio kwamba wana asili moja?
 
Trump ni kama jibwa flan ambalo linabweka kupima upepo.....
Kitakachotokea wakiingia kwenye vita na Iran itakua zaidi ya walichokipata VIETNAM, mark my fu**ng words.
Kama ni jibwa mbona tayari kashamfumua huyo kiongozi wa QUDS?
 
Dah mm nawa hurumia raia wa mataifa yenye vituo vya kijeshi vya marekani maana Iran itayaharibu vibaya sana.
Mimi ngoja nisubiri vita itokee tuanze kupokea wakimbizi kutoka saudia, Dubai, Qtar, Kuwait ili nijichagulie toto la kiarabu nivutie ndani.
 
vita si jambo la kufurahia,ila dah tutapata mademu wa kiiran (wakimbizi)
 
Back
Top Bottom