Trump aipiga mkwara mzito Iran

Trump aipiga mkwara mzito Iran

Dah mm nawa hurumia raia wa mataifa yenye vituo vya kijeshi vya marekani maana Iran itayaharibu vibaya sana.
Mimi ngoja nisubiri vita itokee tuanze kupokea wakimbizi kutoka saudia, Dubai, Qtar, Kuwait ili nijichagulie toto la kiarabu nivutie ndani.
Raia wa Iran wao hawatapata shida sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump ni kama jibwa flan ambalo linabweka kupima upepo.....
Kitakachotokea wakiingia kwenye vita na Iran itakua zaidi ya walichokipata VIETNAM, mark my fu**ng words.
False Prophet at work.
 
Hakuna vita yoyote itakayopiganwa..
Marekani ataua idadi ya wairan wengi lakini hatashinda vita.. kwanza marekani hawezi ku-afford vita mbili.. ya uchumi na bunduki.
 
Back
Top Bottom