Truly African Beauty

Comrade Allen Umemtoa wapi huyu? pure! aisee
hongera vyovyote iwavyo hata kwa kuipata tu hii picha yatosha kukupongeza
 
Duu,. Hyo kifua had nimeogopa haoni km mazito sana
 
kafanana na mamsapu wangu, almanusura nipige yowe kuwa wakware washaleta dhuluma...ila nilipomtazama tu hayo macho nikang'amua lahaulah si yeye.
 
hapo kweli kuna mixer embu angali hii kitu natural cha ukweli,



umeonaa...?
 
Allien kazi unayo! Uzuri wa kwenye picha ungekuwa ndio kila kitu maisha yangekuwa matamu sana. We haya wee!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…