Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,612
- 17,647
Mind you ! walikuwa na kofia 2, hiyo ya chama ilifahamika zaidi
Kuna kitu sijaelewa hapa aliyeleta hii mada ya ******* kwa ID ya Hamelin ndiye Mshana?unajitahidi Kutoa historia,ila hakuwahi kuwa katibu wa chama singida,alikua RDD now days wanajulikana kama RAS
Karibu kwenye uzi wa *******Pole sana kwa kupotelewa na mzee wenu *******
Inabidi tuige mfano wa *******
Hata humu JF tufanye mambo *******
pole..... !!! jaman tuweke heshima kwa marehemu tume joke vyakutosha mwacheni mzee huko alipomshana jr kula [emoji109] nyelwa kissenge rip mi mzee wangu kabisa mimi ni last born wake,please have respect to him wakuu
Mkuu, naona habari za ******* zinakuvutia sana!Leo nimeamua nifukue kaburi la *******
Hatari sanaNa mtukome..!!!
Ni kweli, hapa Morogoro ukisema unataka kwenda RDD, unapelekwa kwa Makonda wa Morogorounajitahidi Kutoa historia,ila hakuwahi kuwa katibu wa chama singida,alikua RDD now days wanajulikana kama RAS
Hata Nyerere alisisitiza tutekeleze maagizo ya *******Mkuu, naona habari za ******* zinakuvutia sana!
Idadi ya watoti wa ******* au sio hahahahaaaMkuu Dragon unawajua Hebu tutajie hata 2
Enzi za ******* hizo mkuuAise huu uzi toka mwaka a2014
Muulize jepesi akueleze pia Jina simbangufira ili story zako zikamilike!Nyelwa ******* alikuwa DC huko Mbulu miaka ya 1980s, alikuwa DC mkali na mchapakazi sana. Alikuwa pia mfuatiliaji sana na aliibadilisha sana Mbulu. Miaka hiyo kulitokea ugonjwa wa Tauni na akaagiza kata 3 ziwe chini ya karantini.
Katika kutekeleza maagizo yake, Katibu Tarafa mmoja aliitisha mkutano wa hadhara na kuanza kuwaambia wananchi..
"Leo nimekuja kufuatilia maagizo ya *******! Si wote mlisikia maagizo ya *******? Nani hataki kutekeleza maagizo ya *******? Lazima mtekeleze maagizo ya *******! Kama mna malalamiko si kwangu, ni ya *******!
RIP Mhe. Nyelwa *******, pia alipata kuwa katibu wa chama Singida, Shinyanga, n.k. na ni mpare wa Usangi.
Poleni familia..
Dr.Rodrick *******,Dr.Peter *******Mkuu Dragon unawajua Hebu tutajie hata 2