myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,145
aisee...umekumbuka mbali...Nyelwa ******* alikuwa DC huko Mbulu miaka ya 1980s, alikuwa DC mkali na mchapakazi sana. Alikuwa pia mfuatiliaji sana na aliibadilisha sana Mbulu.
Miaka hiyo kulitokea ugonjwa wa Tauni na akaagiza kata 3 ziwe chini ya karantini.
Katika kutekeleza maagizo yake, Katibu Tarafa mmoja aliitisha mkutano wa hadhara na kuanza kuwaambia wananchi .....
" Leo nimekuja kufuatilia maagizo ya *******! Si wote mlisikia maagizo ya *******? Nani hataki kutekeleza maagizo ya *******? Lazima mtekeleze maagizo ya *******! Kama mna malalamiko si kwangu, ni ya *******!..............
RIP Mh. Nyelwa *******, pia alipata kuwa katibu wa chama Singida, Shinyanga, n.k. na ni mpare wa Usangi.
poleni familia
Na ALIKUWA MPARE WA USANGI[emoji80] [emoji15] [emoji80] [emoji15] [emoji115]
mshana kwanini wawakome? kuelezea mambo ya ******* tu imekuwa tabu kwako.Na mtukome..!!!
Mshana hafagilii mambo ya *******mshana kwanini wawakome? kuelezea mambo ya ******* tu imekuwa tabu kwako.
mshana jr kula [emoji109] nyelwa kissenge rip mi mzee wangu kabisa mimi ni last born wake,please have respect to him wakuuNa ALIKUWA MPARE WA USANGI[emoji80] [emoji15] [emoji80] [emoji15] [emoji115]
Hatimaye mtoto wa ******* umejitoza? watoto wengine wa ******* wako wapi?mshana jr kula [emoji109] nyelwa kissenge rip mi mzee wangu kabisa mimi ni last born wake,please have respect to him wakuu
wapo wengi tu mkuu dragoon,inategemeana ni yupi unaetaka kudeal nae,wapo ma dr,eg wa watoto,moyo,**** maengeneer,IT,HR,Accountants etcHatimaye mtoto wa ******* umejitoza? watoto wengine wa ******* wako wapi?
Hatimaye mtoto wa ******* umejitoza? watoto wengine wa ******* wako wapi?
wengine wanaiga utendaji wa *******wapo wengi tu mkuu dragoon,inategemeana ni yupi unaetaka kudeal nae,wapo ma dr,eg wa watoto,moyo,**** maengeneer,IT,HR,Accountants etc
Aisee!mh hizi habari za ******* ndio kwanzanazisikia leo jf
wapo wengi tu mkuu dragoon,inategemeana ni yupi unaetaka kudeal nae,wapo ma dr,eg wa watoto,moyo,**** maengeneer,IT,HR,Accountants etc