julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Asee kwenye mapenzi watu wengine mnapata shida sana!Ilikuwa mida ya jana pale jamaa yangu aliponipigia simu nimsindikize akaonane msichana mmoja aliyekutana naye pale Girrafe hotel ambapo jamaa alichukua namba ya huyo msichana wakawa wanachat kama kawaida. Sasa jana ndiyo ilikuwa first date ya kukutana na huyo msichana basi kama kawaida jamaa kachukua gari ya kaka yake kwenda kukutana na huyo msichana basi ile kufika eneo la tukio kumbe msichana naye kaja na gari ya nyumbani kwao bado kidogo jamaa yangu akimbie kwani mfukoni alikuwa na buku sita na alikuwa akiogopa kama msichana akiagiza dompo wine, Savanna sijui ingekuwaje bahati nzuri aliagiza coca cola. Note kumbe siyo kila msichana anashobokea gari wengine yapo mengi tu kwao wanaume wenzangu tuwe makini
wenzenu hatuazimi vitu kama huna gari panda dala dala! kama huna fedha ya beer mweleze anywe maji or soda bila kujali ni wa aina ipi be free mimi hata mguu namtembeza kama hataki milango iko wazi!
