True story

True story

Manina zako leo unajikana????
[TABLE="class: outer_border, width: 500, align: left"]
[TR]
[TD]whats wrong Eiyer! the way i respect you..! man unajishusha for sure!

by the way, hivi Karucee na Karuccee ni tofauti ama ni yuleyule?
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="class: outer_border, width: 500, align: left"]
[TR]
[TD]whats wrong Eiyer! the way i respect you..! man unajishusha for sure!

by the way, hivi Karucee na Karuccee ni tofauti ama ni yuleyule?[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwani heshima maana yake nini??
 
[TABLE="class: outer_border, width: 500, align: left"]
[TR]
[TD]whats wrong Eiyer! the way i respect you..! man unajishusha for sure!

by the way, hivi Karucee na Karuccee ni tofauti ama ni yuleyule?
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Utajaza.
 
Last edited by a moderator:
Kwani heshima maana yake nini??

[TABLE="class: outer_border, width: 1000, align: center"]
[TR]
[TD]samahani lakini my friend kama nitakuwa nimekuudhi. jambo la msingi ambalo nilitaka tu kukueleza hapa, ni kwamba unajishushia reputatio power mbele za watu.. remember that, hata kama hatujuani kwa sura ama majina, yote tuyaandikayo hapa yana reflect mioyo yetu!

nikuombe radhi tena kama nitakuwa nimeingilia privacy policy zako..! ongea kadri ya uwezo wako, lakini kumbuka, NENO LIKISHATOKA MDOMONI.. UWEZEKANO WA KURUDISHWA HAUPO!.. na waliolisikia, watalikumbuka milele na milele! na hivyo ndivyo watakavyokuelezea mbele za watu wengine!

[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hivi kuna nini kinaendelea hapa...???

Mpwa hebu nipe ripoti maana naona kama kuna mvulana aliyeiba gari la kaka na poketi mane buku sita...

Ila sijaona kama alifanikiwa kupata ile kitu inamesa mwensie
 
[TABLE="class: outer_border, width: 1000, align: center"]
[TR]
[TD]samahani lakini my friend kama nitakuwa nimekuudhi. jambo la msingi ambalo nilitaka tu kukueleza hapa, ni kwamba unajishushia reputatio power mbele za watu.. remember that, hata kama hatujuani kwa sura ama majina, yote tuyaandikayo hapa yana reflect mioyo yetu!

nikuombe radhi tena kama nitakuwa nimeingilia privacy policy zako..! ongea kadri ya uwezo wako, lakini kumbuka, NENO LIKISHATOKA MDOMONI.. UWEZEKANO WA KURUDISHWA HAUPO!.. na waliolisikia, watalikumbuka milele na milele! na hivyo ndivyo watakavyokuelezea mbele za watu wengine!

[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Usijali mkuu,hujaniudhi ki vyovyote vile

Nilichotaka kusema hapa ni kuwa unapoamua "kumheshimu" mtu ni vyema ukajua unamheshimu wapi na kwanini

Hapa JF ni mahali tofauti tofauti sana
Eiyer wa MMU ni tofauti na wa majukwaa mengine
Lakini pia usiichukulie JF serious kiasi hicho

Unatakiwa ujue kuwa watu hapa ni fake sana na hawapo hivyo nje ya hapa [nazungumza kutokana na uzoefu]
Hivyo hebu ya huku uyaache huku huku

Unaweza kutamani kuonana na Eiyer kwa sababu unavutiwa sana na kile anachokisema hapa ukakuta Eiyer wa nje ya JF ni tofauti sana na wa hapa au kinyume chake

Much love mkuu ...!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Duh hiyo picha ya huyo mwanamke mbona inatisha sana as if she's a ghost.
 
Bora uwaambie. Mi napiga safari na nyagi yangu afu kanakuja kadudu mtu kanataka nikanunulie Windhoek. Tupa kule ***** zake.[/QUOTu
unapiga mchemsho wa ndizi na kuku maana yake kitu cha
banana na kiroba cha jogoo.
 
eti wana-JF, shule zinafunguliwa lini?
 
Back
Top Bottom