Katika wote hao unamuulizia Bob?Mbona Bob alikuwa mwanaharakati kamili,hapo afadhali ungemuulizia Michael,Bob hapo anaendana na akina Che,Mahathma,Martin Luther junior kwani alikuwa hajui kuficha hisia zake na zinaishi hadi kesho.Na Bob?
Nisaidie kujua safari yake ilivyomalizika hapa dunianiKatika wote hao unamuulizia Bob?Mbona Bob alikuwa mwanaharakati kamili,hapo afadhali ungemuulizia Michael,Bob hapo anaendana na akina Che,Mahathma,Martin Luther junior kwani alikuwa hajui kuficha hisia zake na zinaishi hadi kesho.
View attachment 487634
View attachment 487638
View attachment 487640
View attachment 487645
View attachment 487652
View attachment 487654
View attachment 487656
Na Marilyn Monroe?