True story: Waweza jifunza kitu

Inafundisha sana kikubwa matatizo yanapotokea usiyakimbie yakubali kwanza na huyo rafiki yako ata angeamua amkimbie mume sababu ya matatizo yaliyotokea usikute hata asingefanikiwa hongera zao sana kwa kutimiza miaka 7 na kuvumiliana kwa shida na raha ndio inavyotakiwa kwenye ndoa na ulimshauri vizuri sana auntie hongera sana
 
unafaa sana kuwa mshauri ningependa sana, siku moja tukakutana nami unipe ushauri maana ni mengi na makubwa n'nayopitia ubarikiwe sana.
 
Barikiwa sana my dia, wachache km ww ktk dunia ya leo
 
Yaan kuna muda unaongeaga point sana thanks for the words mama na hongera kwa kutoa ushaur uliosahih
 
Pongezi kwa kuwa rafiki mwema kwa shoga yako.. Natumai na wewe utayazingatia hayo utakapofikwa na yafananayo na hayo
 
Unapopatwa na shida kukubaliana na uhalisia ndio huwa mtihani, yawezekana sasa hivi angekuwa na majuto zaidi.
 
unafaa sana kuwa mshauri ningependa sana, siku moja tukakutana nami unipe ushauri maana ni mengi na makubwa n'nayopitia ubarikiwe sana.
Pole sana mkuu.
 
Yaan kuna muda unaongeaga point sana thanks for the words mama na hongera kwa kutoa ushaur uliosahih
Hahahaaa! Hope hauongelei muda wa miamala
 
Pongezi kwa kuwa rafiki mwema kwa shoga yako.. Natumai na wewe utayazingatia hayo utakapofikwa na yafananayo na hayo
Unajua kutoa ushauri ni jambo moja ila kuuishi ushauri ni jambo lingine!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…