Hiyo video ni ya ukweli au ndy yale mambo yetu yalee! maana hapo anaonekana amedhamiria kabisha kuiba, swali ni je-Ina maana hana uwezo wa kununua pen kama hiyo?
Kama ni kweli jamaa kaiiba , bora angeicha mkononi na kujifanya ameisahau na kuondoka nayo.
Unajua wizi ni ugonjwa kama magonjwa mengine, mwizi akikosa cha kuiba hua anaweka hata shati lake, harafu baadae analinyatia na kuliiba ili atulize moyo.
Acheni Ku-panick..its soo obvious kama jamaa alikuwa anatania..huoni kabisa aniachungulia Kamera... IT was a joke!! Yani waTanzania hamna hata sense of humour?