TRUE STORY...msinirushie mawe

Kama nilishawahi kuwaona sehemu fulani vile ......wewe unampenda mkeo kuliko wanawake wote na huyo mnyarwanda naye anakupenda wewe kuliko wnaume wote! Homgereni sana keep it up!
 


Duh! Hii ndyo aina ya wanaume tulio nao karne hii! Ee Mungu uwanusuru wanawake walio kwenye ndoa!
 
Siku ambayo mkeo alisema ameoteshwa ndio ilikuwa siku muafaka ya kumweleza mkeo ukweli wa mambo,na ulikuwa na chance nzuri ya kumzingizia shetani na mkeo kwa kuwa ni mlokole mungekemea pepo mbaya teh teh! sasa umemkatalia siku ukimwambia kazi unayo,ila wakati unamtongoza na kuanza mahusiano na huyo msichana ulikuwa na lengo gani?Tambua kuwa kuna cku mkeo atajua ukweli jipangeeeeeeeh!
 
Nipe namba yake nitakusaidia kulea mtoto atakae zawaliwa na nitamkeep busy kukupunguzia msara kwa wife wako nakumfanya kuweza kukusahau kabisa!!! Upo tayari!!
 

Story ndefu duh!! Anyway hapa hatuna mengi ya kushauri sababu wakati unafanya yote hayo hukutushirikisha may be tungekushauri otherwise.In short pamoja na kujitetea kwako eti unampenda mkeo si kweli ndugu yangu labda kwa maneno mdomoni but moyo wako uko kwingine saiv,nadhani umeshindwa tu kusema ukweli kuwa unampenda huyo mdada kuliko wife wako.Subiri ajifungue tu ulee mtoto wako but wife wako ni lazima umwambie ukweli tu,na yeye apime then afanye maamuzi.
 

Ukisema mkeo unampenda kuliko wanawake wote duniani, wewe ni muongo mpaka kwenye nafsi yako! yangu ni hayo.
 
Atakusamehe lakini hata sahau na atapunguza uaminifu kwako. Tatizo la wanaume wengi wanashindwa kujuwa kuwa hata changudoa alizaliwa bikra.
 
Ondoa shaka kwani hata mkeo ana mimba ya house boy walikuwa waki Do wakati upo safarini kwa muda mrefu, ndio maana alioteshwa makosa yenu wote wawili ili mtubu
 
eti ni NI NUNDA MWEUSI , YEYE ANA WEUPE WA KICHAGA........shame on you dude, unaonaea aibu weusi wako....mtafute
le presidaa nyoshi el saadat akupe mikorogo😱hwell:

Huyu jamaa inaonekana hata hajiamini yupoyupo tu.
 
miningefurahi sana kama mngenatana na huyo shori wako ili mjue kuwa ..do not ever take what does not belong to you...nyambaf!!!
 
Ubungoubungo unasema huyo mdada ambaye ameweza kutembea na wewe mume wa mtu ndio mwaminifu? mh.
 

Sasa kama umeitoa sehemu si ungesema kabla hujaanza hujaandika, nimezidi kuamini kuwa ni wewe pole yako.
 
Majuto ni mjukuu, ulijua una mke nyumba lkn bado ukaona ni vizuri kujirusha na huyo mtoto wa kitusi. dharau mbaya kwa mkeo hiyoo
 
ajabu ni kwamba nilishasema kuwa hii story ni ya kutunga, lakini watu bado wanang'ang'ania, ndo maana utakuwa haiko consistent kabisa..nilishindwa kutunga story, sasa watu wanatoa mapovu...hahaha.
 
hii inanikumbusha ile thread ya mtoto wa miaka mitatu achomwa moto nakulazimishwa kula kinyesi chake ,wanaume ndio sababishi ya mateso ya watoto wengi msikatae kabisa hii ni nini je huyu dada akapata mumewe akamuoa ,huyu mtoto atakaa wapi kama sio kwa shangazi achomwe moto kama yule ,inafika wakati nawaona wanaume kama wakatili je unategemea nini kwa huyu mtoto??ambaye atakuwa in between familia yako na familia ya huyo dada .just emagine huyo si mtamdampo kwa shangazi??????naumia sana
 

Ukisoma kwenye hizo highlight za kijani huhitaji kuwa na degree kujua kuwa hii story ni ya kutunga tena mtungaji mwenyewe ana umri kati ya miaka 15-24 na kabila lake ni mchaga.
 

dah huu ukweli unauma kama nini nilifanya.... vile hapo nilipopigilia mstarii roho itakuwa inamdundia kule kwa masaburi...
 

King'asti, ye sio wa kwanza bhana kuwa na mtoto nje, watu wana mpaka timu nje na bado wanaishi na wake zao tena ndoa zisizo na mgogoro. . .ni yeye kuweza kuzichanga karata vizuri tu mbona mambo yatakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…