True story;inasikitisha sana,nani alaumiwe

Ila mama wakwe, me I dnt why wanakuwa na tabia za kuwachukia wenga wao, kwenye harusi wanapiga vigelegele hadi wanataka kupasuka, watoto wakianza kuishi u wanaanza chokochoko. Mimi ni mwanamke nina watoto but namuomba Mungu sana asinipe hiyo roho ya chukipindi watoto wangu watapofikia umri wa kuwa na wenzi wao
 
AMEN.
Mi sidhani km ni roho inatoka kwa Mungu,ni liroho la kishetani kuchukia binadamu wengine.wamama wanaopenda wenga wao wanatunzwa utasema malkia bila bugudha,na wanandoa wanakuwa na furaha.
 
Back
Top Bottom